Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

Huyu mwamba unamfananisha na faru John?. Hilo genge lenu la Ufipa lipo so disorganized, hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuwaamini magaidi.
Kama hayo ni ya kweli, si mngekuwa mmeishaacha kuhangaika nao, kila siku.
 
Maombi na gaidi wapi na wapi?. Safari hii magaidi yote mule saccos lazima yashike adabu.
Wewe kila ukishavuta bangi zako breki yako ya kwanza ni hapa. Mnambambikia mtu kesi ya ugaidi huku muuaji wa watu wasio na hatia amejifia bila kufikishwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom