Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Rukwa akamatwa kwa wizi wa mafuta

Kasent

Member
Sep 27, 2011
57
7
***** MWENYEKITI CHADEMA KITANZINI KWA WIZI WA MAFUTA YA WAKANDARASI WA BARABARA YA TUNDUMA -SUMBAWANGA *********

Wakati chama kikipita katika wakati mgumu wa ombwe la uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi za kata,kiongozi aliyesimikwa uenyekiti na Mbowe ili kupanga safu yake ya ushindi,Mzee ZENO NKOSWE mwenyekiti wa Chadema mkoa wa RUKWA juzi aliashikiliwa na kuhojiwa na polisi katika kituo cha polisi Sumbawanga kwa tuhuma ya wizi wa mafuta aina ya disel yanayosadikika kuibwa kwa wakandari wa Aaslef Interbeton wanaojenga barabara ya Tunduma -Sumbawanga.

Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 28 novemba 2013 majira ya saa 8 mchana baada ya polisi kufanya msako maeneo mbalimbali na ndipo muda huo wakavamia nyumbani kwa mwenyekiti huyo na kukuta madumu ya lita 20 yanayokadiriwa kufika 50 yakiwa yamehifadhiwa katika moja ya chumba kilichopo kwa mzee Nkoswe.

Ndipo polisi wakambeba na kwenda nae kutoa maelezo juu ya hujuma hiyo inayofanyika dhidi ya miradi mikubwa ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi.

Kigogo huyo wa chama cha upinzani yupo nje kwa dhamana akisubiri hatua zitakazofuata baada ya upelelezi kukamilika.

Hiyo ni muendelezo tu wa kashfa nzito za uhujumu zilizowahi kumkumba Mzee Nkoswe kwani wakati akiwa mkuu wa wilaya mbalimbali nchini aliwahi kujimilikisha ng'ombe za wananchi ambao walitoa kama mchango kwa ajili ya wanajeshi wetu waliokuwa vitani kumng'oa Nduli Iddi Amini dada, aliwahi kufanya ufisadi mkubwa pia katika mgodi wa machimbo ya makaa ya mawe na kujimilikisha ardhi kubwa ambayo imeibua minong'ono kwa wananchi ambao hawana maeneo ya kilimo.
 
CHADEMA mikoani hawana pesa , pesa zipo makao makuu SLAA anatumia kununua vitenge vya JOSEPHINE na maziwa ya loctogen ya mtoto, pia fedha anatumia MBOWE DJ kununua maziwa ya mtoto wa JOYCE MUKYA
 
Mbona hujaandika huyu anayehusika na Pembe za Ndovu au kwa kuwa ni kada mwenzako?
Mafuta anaweza kulipa na tofauti ba huyu jangili mkubwa.
 
Mkuu, au kwa vile umeguswa? hali hiyo hamjachukua nchi, je mkichukua hali itakuwaje? njaa hizi bana!
 
CHADEMA mikoani hawana pesa , pesa zipo makao makuu SLAA anatumia kununua vitenge vya JOSEPHINE na maziwa ya loctogen ya mtoto, pia fedha anatumia MBOWE DJ kununua maziwa ya mtoto wa JOYCE MUKYA

Pumba tu hapa mchele hakuna.
 
***** MWENYEKITI CHADEMA KITANZINI KWA WIZI WA MAFUTA YA WAKANDARASI WA BARABARA YA TUNDUMA -SUMBAWANGA *********

Wakati chama kikipita katika wakati mgumu wa ombwe la uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi za kata,kiongozi aliyesimikwa uenyekiti na Mbowe ili kupanga safu yake ya ushindi,Mzee ZENO NKOSWE mwenyekiti wa Chadema mkoa wa RUKWA juzi aliashikiliwa na kuhojiwa na polisi katika kituo cha polisi Sumbawanga kwa tuhuma ya wizi wa mafuta aina ya disel yanayosadikika kuibwa kwa wakandari wa Aaslef Interbeton wanaojenga barabara ya Tunduma -Sumbawanga.

Tukio hilo lilitokea juzi tarehe 28 novemba 2013 majira ya saa 8 mchana baada ya polisi kufanya msako maeneo mbalimbali na ndipo muda huo wakavamia nyumbani kwa mwenyekiti huyo na kukuta madumu ya lita 20 yanayokadiriwa kufika 50 yakiwa yamehifadhiwa katika moja ya chumba kilichopo kwa mzee Nkoswe.

Ndipo polisi wakambeba na kwenda nae kutoa maelezo juu ya hujuma hiyo inayofanyika dhidi ya miradi mikubwa ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi.

Kigogo huyo wa chama cha upinzani yupo nje kwa dhamana akisubiri hatua zitakazofuata baada ya upelelezi kukamilika.

Hiyo ni muendelezo tu wa kashfa nzito za uhujumu zilizowahi kumkumba Mzee Nkoswe kwani wakati akiwa mkuu wa wilaya mbalimbali nchini aliwahi kujimilikisha ng'ombe za wananchi ambao walitoa kama mchango kwa ajili ya wanajeshi wetu waliokuwa vitani kumng'oa Nduli Iddi Amini dada, aliwahi kufanya ufisadi mkubwa pia katika mgodi wa machimbo ya makaa ya mawe na kujimilikisha ardhi kubwa ambayo imeibua minong'ono kwa wananchi ambao hawana maeneo ya kilimo.
Chadema haina Mwenyekiti Mkoa wa Rukwa , na hii ni kutokana n mkoa huu kuwa Mpya baada ya ule wa Rukwa kugawanywa na kuwa Katavi naRukwa,hali hiyo ilipelekea Uongozi wa Mkoa kugawanyika kwani Katavi alibakia aliyekuwa M.kiti wa Rukwa na Mkoa wa Rukwa aka akiwa aliyekuwa Katibu.......
 
Sikushangaa nlivyoona "mwenyekiti wa chadema" hapo atalaumu watu hawakumtonya.

Chadema fans and members are too locals. Utaona anakuja msukule hapa kumtetea.
 
Wizi ni sera ya chadema kila mtu ndani ya chadema hasa kwa viongozi wote ni wezi wanaiba mapa simu,wengine wanaiba magari,wengine wanaiba wake za watu kwa nini mbowe hajamtonya mapema.
 
Chadema haina Mwenyekiti Mkoa wa Rukwa , na hii ni kutokana n mkoa huu kuwa Mpya baada ya ule wa Rukwa kugawanywa na kuwa Katavi naRukwa,hali hiyo ilipelekea Uongozi wa Mkoa kugawanyika kwani Katavi alibakia aliyekuwa M.kiti wa Rukwa na Mkoa wa Rukwa aka akiwa aliyekuwa Katibu.......
Naomba jina la huyo anekaimu kwa sasa.tatizo mmezoea uongo mkiambiwa kweli mnaruka
 
Sikushangaa nlivyoona "mwenyekiti wa chadema" hapo atalaumu watu hawakumtonya.

Chadema fans and members are too locals. Utaona anakuja msukule hapa kumtetea.

Mkuu, kama ulivyoona, tayari kuna watu wameanza kumtetea badala ya kumlaani kwa kuaibisha chama chake
 
CHADEMA mikoani hawana pesa , pesa zipo makao makuu SLAA anatumia kununua vitenge vya JOSEPHINE na maziwa ya loctogen ya mtoto, pia fedha anatumia MBOWE DJ kununua maziwa ya mtoto wa JOYCE MUKYA
Wanawake kwa wivu!!!
 
Haaaa! Kumbe kale ka barua pepe kalikozagaa humu mtandaoni ni ka kweli?

Naona wameanza utekelezaji. Mwisho utafika tu. Na kila mmoja atatoa hesabu ya matendo yake!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom