Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga achoshwa?

Huyu mama nimepata News kuwa ni mzuri sana kwa waume wa watu.

Hana Simile wala huruma kwa wanawake wenzake na anatumia cheo chake kufanikisha shughuli zake.

Sintashangaa kama huyu kijana akiwa amemega pia kabla hajakabidhiwa kadi yake ya CCM tena.

Wewe mama, habari zako tunazinasa na acha kupandisha vijana vyeo kwa kuwa wanakupa uroda.

Unasababisha tafrani ndani ya miji na familia kwa ujumla kwa sababu tu hawawezi kukugusa.
 
Mkuu, unauliza swali ambalo mwenyewe ulishalitolea majibu kwamba "amechoshwa na udanganyifu ulioko CHADEMA" Nadhani mimi na wengine wanaotaka kujua zaidi ndio tunaotakiwa tukuulize wewe. Ni udanganyifu upi huo? Hebu tudokeze tupate kujua pia.
Njaa, Nooooma!!!

Ameona wanajidai tu kumbe usiku wanapokea hamsini zao wakiacha walioko mikoani na njaa wakati head office neema tupu..
 
Tz yetu ina mambo! matumbo yamesababisha hata kile kilichotegemewa kuwa ni taasisi -kama vyama vya siasa; badala yake vimegeuka kuwa ni mtu - au ka-kikundi ka watu; wakiimba wengine wanaitikia.
Nasikia kuna chama - m/kiti ni baba, mama katibu na mtoto ni mweka-hazina; hiyo yote ni kutafuta kukidhi haja ya minyoo ya tumbo, na hili limewafanya wengi kujiunga kwenye hivyo vyama ku-fisidi kwa ajili ya matumbo yao; na si vinginevyo.
 
Njaa mbaya bhana! Kijana mdogo anashindwa hata kusoma upepo du mi namhurumia sana ,hata hivyo awatafute shitambala na tambwe hizza ili apate uzoefu wz kuishi bila rafiki tena na kuishi kwa kujificha kama mwizi
 
njaa mbaya sana
Kweli jamaa njaa kali, mimi nimeangalia hilo tukio kwenye sumbawanga tv jioni ya leo, (NI KITUO CHA UMMA-MANISPAA) walikuwepo wakuu wilaya watatu, wabunge, wakuu wa idara mbalimbali nimemuona afsa elimu manispaa ya Sumbawanga ndugu Maulidi. mwenyekiti wa ccm mkoa ndg matete katoa utangulizi eti usumbufu wote toka CDM kwa CCM huyo njaa mbaya ndiye chanzo na kuwa wamebomoa ngome ya Chadema sumbawanga kitu ambacho si kweli Chadema iko imara sana Sumbawanga na itaendelea kuwa imara zaidi na huyo jamaa hakuwa na mchango wowote wa kujutia kutoka kwake, baadaye jamaa alikuwa kawekwa nje akaitwa na kukabidhi kadi ya CDM then akapewa nafasi ya kuongea, maongezi yalikuwa kuponda Wabunge wa CDM kwa kutoka nje ya bunge na kumtetea mbunge wa Sumbawanga mjini bw Aisha, katika maelezo yake kajamaa kenyewe ni kazawa ka Moshi kamekiri kenyewe kalihamia Sumbawanga kutafuta posho, biashara zikakashinda na mwaka 2005 kakaingia kwenye siasa uchwara za kinafiki na za maslahi binafsi na baada ya kuona CDM hakuna posho ikawa shida kwake, binafsi ilinishangaza pale wajumbe waliponyenyuka ghafla wakiongozwa na Mkuu wa wilaya ya sumbawanga ndg Mzurikwao na kwenda kumkumbatia huku akipewa pesa,walionekana Meya wa manispaa,bw Aisha na wengine wengi waliokuwepo jamaa kama njaa leo yuko fiti na X mas itakuwa poa kwani kwa haraka tu kajamaa kamevuna sichini ya 50 elfu, zaidi Stela Manyanya alipokaribishwa kuongea alikiri kuwa atatumia nguvu zake zote kuhakikisha CCM inaimarisha Rukwa na kuwa ndo moja kazi ya kuletwa Rukwa!
 
bw. Geophrey shayo mwenyekiti wa chadema sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na eng stella manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

tunadanganywa nn....acha atembee...atarudi na magoti mikono nyuma..ccm wanahangaika na chadema,hii ni kutokana na kushindwa kutekeleza ahadi za mwenyekit wao..chadema ni taasisi si watu.
 
tunadanganywa nn....acha atembee...atarudi na magoti mikono nyuma..ccm wanahangaika na chadema,hii ni kutokana na kushindwa kutekeleza ahadi za mwenyekit wao..chadema ni taasisi si watu.

chadema ni taasisi si watu

taasisi bila watu itakuwa ni jina tu mkuu..
 
mmh afadhari katurahishia kuvua makokoro yaliyovamia cdm na bado wengine
 
Akitoka mnafiki mmoja wanaingia wanachama wakweli 1000 shida iko wapi,Mkuu wa mkoa kumbe kazi yake kugawa kadi na kuchukua kadi za vyama pinzani? Ameshamaliza kazi zote za kuhamasisha maendeleo mkoani kwake? mbona barabara na kipato cha wananchi bado duni sana si angetumia muda huo kujadili bei ya mazao ya wakulima?
matomato anatafuta kufanyiwa kama yule DC!
 
Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

Ndio maana tunapigania hivi vyeo vya akina Manyanya vifutwe. Itakuwaje mkuu wa mkoa ambaye ni mwakilishi wa wananchi wote awe upande wa chama. Hata siku moja haki haiwezi kuwa sawa ikija katika masuala ya uchaguzi. Kwa mfano waziri wa ujenzi yeye ni mwakilishi wa wananchi wote cha ajabu anasema barabara zote ni za ccm na hata katika hotuba zake anawakandia sana vyama vingine. Wakati io pesa na misaada anayosimamia imechangwa, na misaada ni ya wananchi wote haijalishi huyu ni ccm au wapinzani.Anatakiwa atofautishe anapowahutubia wananchi na anapokuwa kwenye vikao vya ccm. Ndio maana tunasema tena mawaziri nao wasiwe wabunge.
 
Wachaga waonyeshe njia kuwaongoza wachaga wenzao wajitambue na kurudi kundini.

Ndg. Akli imevia ndo mana unaandka ujnga.2nahtaj ukomboz wa nchi c wakvuana magamba.
 
Back
Top Bottom