Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga achoshwa?

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog
 
Bw. Geophrey Shayo mwenyekiti wa CHADEMA sumbawanga amechoshwa na udanganyifu ulioko chadema ameamua kurudi ccm.

Amepewa kadi ya ccm na Eng Stella Manyanya mkuu wa mkoa wa rukwa..

Kuna nini huko chadema acheni kudanganya wanachama???

Source: Michuzi blog

Na ndiyo maana tunahitaji kufuta hivyo vyeo vya mkuu wa mkoa na wilaya kwenye katiba mpya.
 
Ni bora kenge tuwajue mapema... Huu ni msafara wa mamba... After all hata wakati wa ukoloni kuna watu walishirikiana na wakoloni dhidi ya walokuwa wanatafuta ukombozi, sio jambo jipya na halituvunji moyo.

Kumbuka Mwenyekiti anaitwa SHAYO huyu lazima alidanganywa tu
 
walichomtumwa kukifanya cdm wameona hakiwezekani wameamua bora arudi tu. na bado mamluki wote watarudi magambani maana hamtafanikiwa kuiua cdm labda mkaungane na mamluki mwenzenu mbatia
 
Yule Eng Manyanya pia wa kumtizama sana mama ana vijineno vyenye kebehi na dharau kwa vyama vya upinzani sana
 
Vijana wote sasa wanarudi CCM!
Wachaga nao wanarudi CCM
mic1.jpg Hapa Kadi ya CDM ikionyeshwa
mic2.jpg Kijana Shayo ndani ya Pozi
mic3.jpg Hapa Akipongezwa!!!
 
Mkuu wa Mkoa amefikaje kwenye shughuli za kiitikadi za siasa ya Chama Cha Mapinduzi?

Rasilmali alizotumia wakati wa kufanya kaz hiyo alipewa na CCM au ni zile zile kutoka kwenye KODI ZETU serikalini?

Uadilifu wa uongozi uko wapi hadi hpo?
 
Kumbuka Mwenyekiti anaitwa SHAYO huyu lazima alidanganywa tu

Wanajaribu kututoa kwenye lengo la kuu, kuwang'oa la madarakani kwa kununua viongozi. Kumnunua M/kiti hakuwezi kubadilisha akili za wanaotaka mabadiliko.

Nishawahi sema hata Slaa na Mbowe + Lissu wakinunuliwa, bado tutadai mabadiliko tu.
 
Viongozi wa Chadema kuanzia ngazi za mikoa (kwa baadhi ya mikoa) kushuka chini wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana. Ruzuku hawapewi.
 
Back
Top Bottom