Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

Jana aliuekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Singida aliandika barua ya kujiuzulu kwa alochodai ni ukiritimba kwenye uongozi wa juu.
Wakati huo huo amedai kuwa amekuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Ina maana Singida hakukuwa na mtu mwingine anayefaa kuwawenyekiti?
 
huu mwenyekiti wa singida si yule aliyewahi kuhusishwa kwenye ile kashfa ya amoja na zito ya kusaidia ccm kushinda kwenye wilaya n.k???
 
wewe kibibi changu kibabu chenu,

Unayosema cjui yanatoka wapi. hivi umesoma jinsi mjuu wako muiguru anavofurahi sasa ivi. umeona yule nepi anavotabasamu. tulia bibi, wajukuu wafanye kazi. sasa CDM haifi, wala hila za ccm hazitafua dafu. wewe kufa zako maana uzee umekushika bibi yangu.

kamwe CHADEMA haitauliwa na CCM, itajiua yenyewe bkwa UBAGUZI WAKE.
 
buku7 zinamsumbua, zikiisha ataenda kulima kama alivosema KJ

Back
Top Bottom