Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mbeya vijijini,ccm tumbo joto.

Ticha

Senior Member
Aug 26, 2007
135
8
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA wa mkoa wa mbeya,Advocate Shitambala majuzi alikuwa mgeni rasmi katika harambee ya kufungua parokia huko INYARA Mbalizi.Badala ya kumuarika Christofa Mwanjale ambaye ni Mchungaji na ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini,na vijana wa CCM ndio walikuwa mstari wa mbele kumkataa Mchungaji Mwanjale kuwa mgeni rasmi.
Na jana alikuwa na PRESS COMFERENCE,na vyombo vya habari vikiwemo ITV,STAR TV kwa wale waliopata mada alizozungumzia kuhusiana na chama chake cha CHADEMA tunaziomba,SAMAHANO WENZANGU KUNA MAKOSA KIDODO HAKUNA MKOA WA MBEYA VIJIJINI
 
Back
Top Bottom