Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha ashikiliwa kwa muda na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha ashikiliwa kwa muda na polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jan 21, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Polisi arusha,wameendelea na upuuzi wao,wamemshikilia kwa muda mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha,kwa tuhuma za kuchochea vurugu,tarehe 5,,lakini hatimaye aliachiwa,na ataunganishwa kwenye kesi na viongozi wengine,,,,
   
 2. D

  DENYO JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yana mwisho ngoja tuone karata za polisi.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  good na vipi polisi walio ua wame kamatwa?
   
 4. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tatizo polisi wanafanya kama waganga wa kienyeji wangetangaza watu wote wanaowahitaji waende kituoni badala ya utaratibu wa sasa wa kuwavizia . viongozi wa chama chenye address lazima wataripoti kituoni wenyewe endapo watapewa taarifa kuwa wanahitajika
   
 5. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Source ni mimi mwenyewe,nilikuwepo polisi
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kumbe hawajafunga kesi?
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  acha waendelee kukimbiza mjusi.mjusi akifika kwenye ukingo atageka nyoka...!!
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  Katiba ni SHERIA MAMA ambapo sheria zote za nchi hupatikana na kufanyiwa kazi.

  Wakati sheria za kawaida hutungwa na wawakilishi wa wananchi kwa maana ya Wabunge kule bungeni Dodoma, Katiba ni sheria mama yenye UPEKEE KATIKA JAMII HUSIKA ambapo utungaji wake ni JUKUMU LA RAIA WOTE katika nchi.

  Sasa Ugomvi mkubwa kati ya vyama vya upinzani na Wanaharakati, kwa upande mmoja, dhidi ya CCM ni katika kusema kwamba NI HAKI YA KILA MTANZANIA KUSHIRIKI MOJA KWA MOJA katika kutekeleza wajibu wao kutunga Katiba Mpya.

  Lakini wao CCM wakiongozwa na Mafisadi wao wanasema Rais ANATOSHA KUTUTUNGIA TU KATIBA KWA KUSHIRIKIANA NA LOWASA, CHENGE na akina ROSTAM AZIZI kututungia tu katiba hiyo kupitia KIKUNDI CHA MADALALI WAO KWA JINA LA WATAALAM WALIOBOBEA KWENYE SHERIA.

  Sasa swali hapa ni kwamba; tangu lini Watanzania tukasikia KIKUNDI CHA Mi-FISI wakatunga sheria murua ya kulinda maslahi ya SWALA jangwani???

  UWEZO TUNAO, haki hapewi mtu bali ni kwamba haki hufuatwa na kuchukuliwa. Kazi inaendelea kila kona ya nchi kwa watu tunaojali maslahi ya taifa letu. Hakuna kulala!!!
   
Loading...