Mwenyekiti wa CHADEMA - London kachaguliwa kwa kigezo gani?

Safari ya kilomita million moja huanza na hatua moja, ni jambo la kutia Moyo kuwa sasa upinzani unasambaaa
 
maeneo waliyofanyia mkutano wao wanaishi watu wengi kutoka visiwani zanzibar, kitendo chao cha kupeleka mkutano BAR ndicho kilipelekea kukosa watu, na hasa hii kasumba ya ukristo, waislam wanakiokopa chama hicho.

Mkigoma,

wewe ni well known KAFU supporter and a CCM puppet... i dont know how you manage those two tough loves.... mbona ghafla umekua kinara wa kufuatilia CDM

KUhusu kufungua tawi, hata watu kumi wanaweza kuanzisha tawi na baada ya mwaka ukapata members mamia, walioanzisha DMV walikua wachache mno, lakini wakaamua kuendelea mbele

jifunze kujifunza ili uweze kujifunza vyema
 
Back
Top Bottom