Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Suleiman Mathew ahamia CCM

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
13,759
20,151
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa amerudi nyumbani. Amesema kuwa amerudi CCM kuunga mkono juhudu za maendeleo zinazoletwa na chama hicho.

1619778820821.png
 
A hungry politician is dangerous than a hungry lion, a greedy one is a threat like hyena; whereas a hypocrite one changes his stance on issues depending on the way the wind blows similar to a chameleon changing its colour depending on its surroundings.

Tuna wanasiasa wanao-fit sifa za wanyama hawa kuliko hata ambavyo wanyama wenyewe wana-fit.

So sad!
 
Back
Top Bottom