Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

Ameuza Mali za mamake zote..alafu mkewe anajiona Kama hafai kuvuta hewa ya Tz. Yaan anajikuta huyo...ngoja nisiendee wasije nifahamu buree
halafu pesa zilivyo za kijanga sasa, unaweza ukute ana over Billion ila zikakatika hv hv asiamin macho yake, ndipo atajua Tz na penyewe kuna hewa safi kabisa, pesa hua kubwa tu pale ambapo mtu hajaishika
 
Back
Top Bottom