Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza Kikao cha Kamati kuu CCM kesho Jumanne Tarehe 22/06/2022

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
šŸ“Dodoma

KAMATI Kuu ya Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), itakutana kesho Jumanne, tarehe 22 Juni 2021, jijini Dodoma Chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.


IMG-20210621-WA0107.jpg


IMG-20210621-WA0108.jpg

IMG-20210621-WA0106.jpg
 
Agenda kuu itakuwa damage control. Naona mkeka wa maDC umewachanganya Sana uvccm, wana-left magroup na kumwaga mitusi hovyo.
Kwa mtindo huu wa kuijadili Sisiemu day in and day out, huku mkisahau kujijenga kichama, basi Sisiemu imefanikiwa sana kuwabomoa na kuwapoteza kwenye ramani hadi mmepoteana. Aliyesema hadi 2020 hamtakuwepo, aliona mbali sana.
 
Naona Digital platform ya CDM imewafanya waitishe mkutano...!! Mwenyekiti ataombwa afanye udhitibi wa mikusanyiko ya kisiasa hata hiyo ya ndani - kuwaachie wafanye siasa ni balaa kubwa!!

Kuhusu Katiba mpya, mwenyekiti ataombwa hili suala si ajenda ya chama cha mapinduzi kwa sasa.
 
Hapo kwa Mangula alikoswakoswa.
Kikwete aliwahi sema sasa hata maji hatuaminiani.
Kulikoni huko CCM?

Una maanisha kuwa bora Mama aende sokoni atakuwa salama kuliko kuwa na CCM.
 
Agenda kuu itakuwa damage control. Naona mkeka wa maDC umewachanganya Sana uvccm, wana-left magroup na kumwaga mitusi hovyo.
šŸ˜€ šŸ˜€ Umekalia ushabiki tu, kule kwenye saccos yenu hamna chochote cha maana. Shame
 
Back
Top Bottom