Mwenyekiti wa CCM na mkakati wa kumdhibiti Dr Slaa

Wakugombea urais ccm wapo wengi japo hatuwaoni. 2015 watajitokeza.
 
Wale wote wanaosema umri ni wajinga, by 2015 dr slaa atakuwa na umri wa miaka 67..mmeona wagombea wa zambia sata na banda? they both stand at 74! nakupeni assignment ya kutafuta umri wa kibaki. Hawa wako mbali sana kiumri ukilinganisha na dr slaa. Let me quote Mrema," Kule bungeni hatuendi kubeba zege".. same applies kwa uraisi,kinachomata ni uwezo na moyo wa kutumikia wananchi. Finito
 
Back
Top Bottom