Mwenyekiti wa CCM, Morogoro ampiga askari wa Usalama barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CCM, Morogoro ampiga askari wa Usalama barabarani

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by STK ONE, Apr 9, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Engineer Petro Kingu....Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kumpiga ngumi askari wa usalama barabarani.
  Lakini mwenyewe amekanusha tuhuma hizi na kudai kuwa ni njama tu....hajaeleza ni njama gani???

  SOURCE: HABARI ITV
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa ccm mabondia lol mbona wanapigana wenyewe kwa wenyewe?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati huwa nahoji ujuha wa baadhi ya viongozi wa CCM kufikiri wapo juu ya sheria. Kwa nini asisingiziwe siku zote na iwe leo?
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Huyu Mzee imekula kwake. I feel sorry for him. Naona aachane na siasa aendelee na ujeznzi. Kwanza fundi mchundo huyu..snahisi ndo wale wa bongo tambarale
   
 5. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ccm bwana, wamegeuka wapinzani, matusi yao, ngumi zao.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tuwe makini na wana CCM kwa sasa,wote naona wamechanganyikiwa
   
 7. k

  kisesengule Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mangamba wanajiisi tanzania ipo kwa ajiliyao
   
 8. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  njama tuuuuuuu......................
   
 9. I

  Ichimuisebu Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mwacheni akaolewe zake
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Natamanj Lusinde naye aje aonje mung'anda japo siku mbili ili matambo yaishe tehe tehe tehe tehe.
   
 11. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280

  Mkuu akiacha siasa ndo anaenda kufia ndani, hapo atleast ana ccm-Immunity..!!
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wao ndo zao,naona polisi nao wameona wanadharaulika mno,aende akaolewe kidogo akitoka Lusinde atatusimulia
   
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mh chibulunje mbona unamkandia magamba mwenzako?
   
 14. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kuipenda ccm yapasa uwe na akili ya 'MAITI'
   
Loading...