TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

Heeeee!

Tukadhani angalau leo kupite kimya?

Enyi mlio katika nafasi za kumfahamisha jiwe kubadili uelekeo bora mkafanya hivyo mngali hai.

Itakuwa haina maana sana kufanya hivyo mkiwa mmeshapumzika kwa amani.

Apumzike mwenyekiti huyu.
Wewe aliyekukataza kuchukua tahadhari ni nani? Hadi utake JPM ndio aje akuambie?
 
Tujitahidi kuchukua tahadhari na kumwomba Mungu. Nimesikia taarifa ya habari marekani wameamua kushusha bendera nusu mlingoti baada ya vifo kufikia laki tano
 
Back
Top Bottom