Gwajima
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 253
- 406
Nanukuu
"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."
Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.
Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.