Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,551
- 19,419
Kwani hujui kuwa Uhuru ni kijigazeti? Umashatembelea newsroom yake ukajionea? In fact kwa sasa Tanzania inaonekana kama hamna gazeti tena bali ni vijigazet tu.Nanukuu
"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."
Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana.
Ila kama ndiyo ameamua hivyo sawa.
Ila mama samia anapenda sana vijembe vya uswahili ambavyo haiendani na hadhi yake kama kiongozi wa nchi. Hilo tamko la vijigazeti dhidi yake binafsi siyo presidential material.