Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,703
- 4,697
Naomba ufafanuzi juu ya jambo hili ambalo limefanyika hivi karibuni. M/kiti wa CCM ameteuliwa na Rais kuwa mkuu (Chancellor) wa chuo kikuu cha DSM. Kwa wanaofahamu mambo ya sheria naomba msaada wenu ili tujiridhishe kama hili ni jambo sahihi kufanyika ktk taasisi ya serikali.