Mwenyekiti wa bodi ya Parole Mrema alazwa India

Chief inabidi ubadilike sasa haya mawazo yako ni ya kipuuzi kabisa. Kwa mtu yeyote mwenye uwezo mzuri wa kuwaza hawez kuwaza kama unavyowaza.mnamchafua lowassa kwa maneno yenu.watu kuumwa au kufa kupo na ndo maana pia hata mtu anayemtukana mgonjwa namwona ni mpuuzi kama wewe unayehusisha kifo au ugonjwa wa mtu na kumtukana lowassa. Ukue sasa achana na mawazo ya kipuuzi


Hivi nae alikuwa anamtukana Mh Lowassa?
yangu macho tusije imba ule mwimbo wa palapanda.


swissme
 
RIP in advance mrema
Jamani hii siyo nzuri. Si utamaduni wetu watanzania hata kama mtu ungekuwa unamchukia! Jaribu kuwa na akiba ya maneno. Waliosema Lowasa ni mgonjwa wako wapi? Waliosema Warioba atauachie matatizo wako wapi? Hii experience inatosha kukuonyesha yeyote anaweza kutangulia hata wewe ukiwq mmoja wapo.
 
Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospital mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Magufuli
Haya matumizi mabaya ya raslimali zetu,, Mrema ana hadhi gani ya kwenda kutibiwa India badala ya hospitali zetu?
 
Back
Top Bottom