Mwenyekiti wa bodi ya Parole Mrema alazwa India

Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospital mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Magufuli
Harafu first lady analazwa sewahaji......
 
Nchi hii haieshi vituko. Juzi First Lady wetu kalazwa Muhumbili wodi ya Mwaisela kwa madai kuwa Huduma hapo ziko sawa tu na huko India!!!Je, hii inaashiria nini kwa Watz? Kuna watu muhimu zaidi na wengine siyo?
Ndo mana tulisema alichotendewa Mama Magufuli ilikuwa ni udhalilishaji kwa mama huyu. Hii ndo serikali ya JPM kwa maana ya Hapa Kazi tu!!!
Mh! Labda mjiulize huyo mama alikua anaumwa nini na Mrema anaumwa nini....mkishajua ndio mtajua ugonjwa upi unaweza kutibiwa Muhimbili na upi sio.
Sasa unasema mama alifanyiwa unyanyasaji kisa katibiwa Muhimbili?! Tumuogope Mungu watanzania.......hivi angepelekwa India halafu mkajakusikia alipelekwa India kutibiwa maleria, hili nalo mngelizungumziaje?! Tz hata aje malaika kuwa raisi bado hatutashindwa kulalamika
NB. Mi sio mshabiki wa chama chochote, mi huwa nahusudu ukweli.
 
Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospital mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Magufuli
Acha unaa bana..
 
Pole sana MREMA. Hongera pia kwa kuzichanga kete zako vizuri.
 
Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospital mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Magufuli

uwiiiii msee wa kiraracha anaumwa niniii??
 
Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospital mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Magufuli
Acheni ushabiki wa kisiasa safari imewezeshwa na Raisi Magufuli ametoa pesa zake mfukoni? Au kodi zetu
 
Get well soon. Ukijaaliwa kupona mapema uende kumcheki na MBATIA naye amelazwa huko.
 
Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospital mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Magufuli
Unaposema inewezeshwa na Magufuli ni kutoka ule mshahara wake wa 9m aliotuambia?
 
Wasiende kutibiwa nje jamani daaah? Wanaisumbua serikali tu pindi wanapokufa.kwanza nje kuna mikosi,wanaenda ni wazima wanarudi huku kwenye majeneza
 
Jamani hii siyo nzuri. Si utamaduni wetu watanzania hata kama mtu ungekuwa unamchukia! Jaribu kuwa na akiba ya maneno. Waliosema Lowasa ni mgonjwa wako wapi? Waliosema Warioba atauachie matatizo wako wapi? Hii experience inatosha kukuonyesha yeyote anaweza kutangulia hata wewe ukiwq mmoja wapo.

Utampenda Idd Amin
 
Nchi hii haieshi vituko. Juzi First Lady wetu kalazwa Muhumbili wodi ya Mwaisela kwa madai kuwa Huduma hapo ziko sawa tu na huko India!!!Je, hii inaashiria nini kwa Watz? Kuna watu muhimu zaidi na wengine siyo?
Ndo mana tulisema alichotendewa Mama Magufuli ilikuwa ni udhalilishaji kwa mama huyu. Hii ndo serikali ya JPM kwa maana ya Hapa Kazi tu!!!

That was a drama
 
Mwenyekiti wa bodi ya msamaha kwa wafungwa Augustine Mrema amelazwa katika hospitali mojawapo nchini India akicheki afya yake kutokana na maradhi yanayomsumbua,safari hiyo ya nchini India yeye na mkewe, imewezeshwa na Rais Maguful.
Anko Magu si mtu wa kispotispoti. Mkewe anatibiwa Muhimbili, Lyatonga na mkewe anawapeleka India. Kubana matumizi kuliko tukuka.

Get well soon mangi.
 
Back
Top Bottom