Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa .
Nachukua nafasi hii kuipa pole familia yake pamoja na wanachadema wote wa Njombe na namuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema awabariki watu wote walio magerezani kwa kesi za uongo na namuomba aingilie kati .
Mungu ibariki Chadema