Angekuwa ni wa kutoka Tundukma au Kigoma kule sawa lakini Rombo?!
Rombo wakenya wale mbegu chafu
Safi sana... Huyu dada namfahamu sio mtu wa kuyumbishwa hata kidogo
Watakuwa wanafufua Misukule pale Ikulu. Rais mwenyewe atakuwa amekaa kimisukule sukule tu hasa akiwa bado hajadungwa yale masindano yake. Nguvu za giza zitatawala taifa!Kule kule na Gwajima mshauri mkuu wa rais lowasa katika utawala wa wenye pesa.
watakuwa wanafufua misukule pale ikulu. Rais mwenyewe atakuwa amekaa kimisukule sukule tu hasa akiwa bado hajadungwa yale masindano yake. Nguvu za giza zitatawala taifa!
God...Calm down! Nakupa rukhsa. Rusha hilo tusi na naku-promise kuwa sitakushtaki wala kukuripoti TCRA...natamani nikupe tusi ambalo utalia wiki nzima una bahati naogopa sheria ya mtandao.
Mchaga kuhamia Chadema sio Habari Habari ni Mchaga kuhama Chadema
Wale wa chadema waliohamia ccm ni uongo ila huyu wa ccm kwenda chadema ndio ukweli??
kwani wewe umekatazwa kuandika hiyo habari yako? kama unaona ni habari andika na sisi tutaisoma na kiandika comments humo. Sio kila habari kwako ni habari kwa mwingine.Wale wa chadema waliohamia ccm ni uongo ila huyu wa ccm kwenda chadema ndio ukweli??