Mwenyekiti uvccm mkoa wa mwanza anatuhumiwa kwa utapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti uvccm mkoa wa mwanza anatuhumiwa kwa utapeli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Jun 12, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Leo nimepata tetesi toka Mwanza kuwa M/Kiti UVCCM Mkoa wa Mwanza ametiwa nguvuni kwa kujipatia pesa kwa kutumia cheo chake ambavyo ni kinyume na sheria na taratibu za kazi na kinyume na katiba ya CCM/UVCCM.

  Je kwa wana JF waliko mwanza wanaweza kutupa habari kamili au kwa mwana JF yeyote mwenye habari kamili kuhusiana na hiyo issue.
   
 2. e

  eddy JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,406
  Likes Received: 3,783
  Trophy Points: 280
  Mh acha nipekenyue, nyamagana mwaka huu hapatoshi!
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Dalili za vumbi kutimshwa!
   
 4. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145


  Mnaoujua hii habari hebu mtujuze undani wake, mtaani wanasema nini chanzo? wakubwa wengine wa nyamagana kweli hawamo?
   
 5. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sio huyo wa mwanza tu......wenye kashfa za wizi CCM ni wngi sana almost WOTE........
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,506
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  yalaah!
   
 7. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa wote ni majizi yaliyo kubuhu
   
Loading...