Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
MWENYEKITI wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini ndugu Martini MUNISI amemtaka mkuu wa wilaya ya Hai kuwawajibisha haraka sana viongozi waliyo uza chakula cha njaa wakiongozwa na MWENYEKITI wa halmashauri ya wilaya ya Hai pamoja na madiwani wenzake wa CHADEMA haikubaliki hata kidogo serikali ya CCM ifanye juhudi kubwa kuwapa wananchi wake chakula viongozi wa CHADEMA wajekukiuza

Ingekuwa ni wanaccm wamefanya unyama wanamnahiyo mbowe asingedhubutu kunyamaza kule bungeni angekodi Elkopta kujakuzunguka kote kuelezea

Mm binafsi ninaimani kubwa na mkuu wa wilaya namwomba ashughulikie hilisuala Mara moja nawahusika wachukuliwe hatua Kali za kisheria

Hii ni ndani ya kikao cha kijiji cha Shari baada ya MUNISI kuruhusiwa kusalimia yeye na watoa mada wa shirika waliyokuja kuongea na wakazi wa Shari juu ya ujasiria Mali
 
result of abuse of authority , the authority may use his power and misused his position . this is true for all forms of power , whether political , moral , economic , and military. we can go back and see a clear abuse potential as a dictatorship of the person or group, ideology to incorporate elements of a particular group of people to violate the law and commit evil aggression against the rest in other people . and this is done by the group if they do not , groups with military force . conditions and influences to feel great and you will not love you justify things because of the title, take and use power would be capable of understanding the issues involved in governing this or take advantage of someone forcing things by force , to feel the pride of power, to be a genius to feel that I am older, legalize everything legal is to follow the law in every thing whatever that the law will exercise a right or not , POWERS THAT NOT CAPABLE Qualified , they would like pride to hide his weakness and when they can not provide the service expected by communities they manage is . when a person in power has been on a sense of leading like a dictator for a man of violence and forcing things instead of using force to move the focus to advise and influence people , the man is shown arrogance and anger and to do so he hid his manner great feel and lack of security. Such a person sees himself becomes a god and feel he is above all others , to seek personal benefit from the power , through exploitation, or self, that is doing the corruption of power.
 
alaa kumbe zile zama za Chama kushika hatamu za uongozi bado zinadunda....!! safi sana.
 
Aende akaamrishe kushughulikiwa kwa Meya wa Bukoba ambaye tunaushahidi wa kutosha hadi kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (ACG) aliyoitoa adharani.
 
LYIMO kwahiyo wamefanya saw a kula chakula cha njaa
 
huyu mtoto wa uvccm ni mjinga kweli kama watu wamefanya makosa na anao ushahidi alitakiwa kupeleka mahakamani au anadhani hao viongozi wa chadema niwale walimu wanaonyanyaswa na wakuu wa wilaya kwa kuchapwa viboko haka katoto kana mawazo ya kingunge
 
nani alikuambia chakula cha msaada kinagawiwa na madiwani? TAfuta lingine hill limebuma halafu Hutu munisi ana hasira baada ya kunyimwa kujiunga na chadema . Bado juzi alikuwa na kikao na chama kipya ATC. hu yo tunamjua
 
LYIMO kwahiyo wamefanya saw a kula chakula cha njaa

Hapana Mkya, kwanini tuwahukumu kwa taarifa za JF? Kama wamedhibitika kufanya ubadhilifu wachukuliwe hatua za kisheria mara moja. Na Polisi/Mahakama ndiyo zenye jukumu hilo, mkuu wa wilaya ni kuwashitaki pamoja na kuleta vigezo. INimelitoa hilo, maana kule Bukoba mjini tulidhibitishiwa uhalifu wa meya, na hatukusikia hata mmoja akipiga kelele ya kushinikiza kuchukuliwa hatua kwa wahalifu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi siku hizi madiwani wanagawa vyakula vya misaada???? huo utaratibu labda kama upo Hai tu!!!
 
Madiwani ndiyo wamegawa chakula kule Hai ndiyo maana unaona CHADEMA wapo kimya nikwavile ni nyumbani ungekuta wameshavuliwa nafasi zao

Mchezakwao hutumza chama ni chao
 
Nilifikiri Serikali ilishamua kuwa chakula kitakuwa kinauzwa kwa bei nafuu na siyo kuwagawia bure watu. Ni Serikali chache sana duniani zinagawa chakula bure isipokuwa tu kwa muda mfupi na watu wasiojiweza - maskini wa kutupa. Watu wenye uwezo wa kununua ni vyema wanunue.
 
Back
Top Bottom