Antar bin Shaddad
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 202
- 101
akapumzike kwa amani lakini alibaka demokrasia kwa kuminya haki za wapiga kura wa tz kwa kupendelea ccm
na bado tunae mpaka kieleweke..Yule Kihongwe mwingine KIRAVU... bado yupo? Nakumbuka lile sauti lake DOVUTWA YAHMI DOVUTWA Kura 4 sawa na asilimia 0.009,MZIRAY PETER KUGA Kura 7 sawa na asilimia 0.018 yaaani Kipindi kile ALINIBOAJE?
Yule Kihongwe mwingine KIRAVU... bado yupo? Nakumbuka lile sauti lake DOVUTWA YAHMI DOVUTWA Kura 4 sawa na asilimia 0.009,MZIRAY PETER KUGA Kura 7 sawa na asilimia 0.018 yaaani Kipindi kile ALINIBOAJE?
nilijua tuWana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini kwa sasa bado haijatangazwa in public kwa kuwa anasubiri kukabidhi ofisi rasmi mara tu bada ya mtu mwengine kuteuliwa kushika wadhifa huo.Taarifa zinasema mwenyekiti huyo ilikua astaafu tangu mwaka nov 2004 lakini aliombwa na aliyekuwa Rais Ben Mkapa aendelee kushikilia nafasi hiyo kwa sababu kulikua na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata jimbo ambalo lilihitaji mtu mwenye uzoefu.Mwaka 2009 alitaka kuachia ngazi tena akidai uzee umeshamchukua lakini Rais Kikwete alimuomba tena mzee huyu abaki Nec ili kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka jana ambao Rais Kikwete alishinda kwa mbinde.Mzee huyu ni mwenyekiti wa kwanza wa tume ya uchaguzi Tanzania jambo linalomfanya atumike sana kwa ushauri katika uchaguz wa nchi jirani kama Congo, Zimbabwe n.ksource: Chanzo Makini
tz wazee hawataki kuacha kazi, na jambo hili ni baya kwan linabana nafas za vijana kupata fursa za ajira zaidi na hivyo kuzuia ustawi wa jamii nzima, watu wale wale, wa aina zile zile, na wa familia zile zile ndizo ztaendelea kupata fursa za ajira. Upumbavu kabisa huu.Unamkumbuka kingunge ngombale mwiru? Aliacha uwaziri maalumu akiwa na miaka mingapi? Tanzania chochote chaweza kutokea
Wana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini kwa sasa bado haijatangazwa in public kwa kuwa anasubiri kukabidhi ofisi rasmi mara tu bada ya mtu mwengine kuteuliwa kushika wadhifa huo.Taarifa zinasema mwenyekiti huyo ilikua astaafu tangu mwaka nov 2004 lakini aliombwa na aliyekuwa Rais Ben Mkapa aendelee kushikilia nafasi hiyo kwa sababu kulikua na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata jimbo ambalo lilihitaji mtu mwenye uzoefu.Mwaka 2009 alitaka kuachia ngazi tena akidai uzee umeshamchukua lakini Rais Kikwete alimuomba tena mzee huyu abaki Nec ili kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka jana ambao Rais Kikwete alishinda kwa mbinde.Mzee huyu ni mwenyekiti wa kwanza wa tume ya uchaguzi Tanzania jambo linalomfanya atumike sana kwa ushauri katika uchaguz wa nchi jirani kama Congo, Zimbabwe n.ksource: Chanzo Makini