Mwenyekiti NICOL Itisha Pess Conference.


wade adams

wade adams

Senior Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
143
Likes
36
Points
45
wade adams

wade adams

Senior Member
Joined Dec 2, 2011
143 36 45
Menyekiti NICOL Dr Kaunfa tunakuomba uitishe press conference kujulisha taifa yafuatayo:
1. Maazimio ya mkutano wa wanahisa wa tarehe 26.11.2016
2. Mikakati ya bodi yako kuhusu kulinda,kuhifadhi na kuboresha hisa zetu.
3. Tulinunua kiwango mahususi cha hisa ikiwa na gharama
mahsusi, mkatupeleka zote soko la hisa mkatupa shareholder certificate yenye idadi maalumu ya share ambayo dhamani yake itategemea na bei ya za hisa za nicol kwa siku. Sisi wanzilishi tunafaidikaje na investment that was the paidup capital kwa maana nyingine faida kutokana na vitega uchumi vilivyoainishwa. Kwa kuwa sasa hivi sote we have the value as guy who visits the DSE.
4. Kama udadisi, mlipata wapi fedha ya kuendesha mashauri na bodi iliyosamishwa na mahakama. Kama mlikopa mtalipaje na kama mlituonea huruma mkatusidia sasa hivi hamwoni ni wakati muafaka wa sisi kulipa deni lenu lisije likawa nyenzo ya kutunyanyasa.
5. Tunaomba muhstasari wa tarifa hai ya miradi iliyopo na inayofanya kazi kwa faida kutoka mdomoni kwako audited report, just areport from the horse's mouth.
(b) Tunaomba minute za kikao cha tarehe 26.11
2016 kwenye tufuti, wengine tulishindwa kuhudhuria kwa sababu tuko mikoani n.k.
(c) Hatutaki mtifuko huko NICOL tena kwa kuwa hatukulipia shares kwa ajili wengine, tulinunua shares ili tukuwe wote na wala siyo kutaperiwa.
(d) Mlimwona Mosha si mtu mwaadilifu. Tumaomba wee uwe mwadilfu NICOL iwe transparent.
Katika uendeshaji shirikisha serikali kwa kuwa ina 49% of the paidup capital.
Dr Kaunda The Chairman Of NICOL
Kindly be guided accordingly.
 
Mwanzi1

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
5,129
Likes
3,601
Points
280
Mwanzi1

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
5,129 3,601 280
Mod kwanini mtu akikosea heading ni vigimu kurekebisha? Kama mkuu hapo juu, ameweka PESS nadhani alimaanisha PRESS.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,742
Likes
15,106
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,742 15,106 280
Hivi Bado Mnafuatilia Hisa Zenu Za Nicol? Mengi ashazipiga hizo.
 
wade adams

wade adams

Senior Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
143
Likes
36
Points
45
wade adams

wade adams

Senior Member
Joined Dec 2, 2011
143 36 45
MWENYEKITI NICOL AITISHE PRESS CONFERENCE
 

Forum statistics

Threads 1,272,334
Members 489,924
Posts 30,447,889