Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chitambikwa, Dec 28, 2011.

 1. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nikiwa natoka sherehe za Noel Bethlehemu nimekutana na jaji mmoja maarufu nchini katika ndenge tuliyosafiri pamoja kurudi nyumbani , katika mazungumzo yake ameniambia amekerwa sana na uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa NEC bwana LUBUVA kuwa ni mkakati wa Kikwete kumuandalia fisadi mwenzake katika chama chochote atakachokwenda kushinda uraisi. Mambo ambayo ameyafanya ni kumchagua Lubuva AMBAYE NI KAKA WA MKE WA LOWASA kufanikisha hilo.

  Lingine aliloniambia ni kuwa kulikuwa na mkakati wa kumchoma sindano ya Mionzi Dr.Slaa wakati alipoenda kutibiwa mkono muhimbili, na kuwanyamazisha wote wanaompinga.

  Zaidi akaniambia kuwa mahakama hapa TZ inaogozwa na CCM na si serikali na wala haiwezi kuwa huru kwenye kesi yenye maslahi na CCM

  Binafsi nimesikitika sana ,WADAU kama kuna mtu ana habari zaidi juu ya hii mada atujuze ili tuitazame nchi yetu itakuwaje huko mbeleni
   
 2. W

  WildCard JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  NEC hii itaondolewa na KATIBA MPYA tarehe 26. 04. 2014. Msihofu.
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Habari gani unataka tukuambie wakati wewe ndio unayetoa habari
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  ngoja katiba mpya haya yote yatabaki kama historia labda ichakachuliwe ila inatia machungu mi natamani tupigane tu. Nitarudi baadae
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  chitambikwa, tuseme ni kweli Jaji Damian Lubuva ni kaka yake mke wa Lowassa, sasa ndio unamaani hiyo ndiyo sifa iliyomfanya achaguliwe kuwa mwenyekiti wa NEC?.

  Jee kama uteuzi wa jaji Lubuva umezingatia sifa na vigezo, sasa ndio asiteuliwe eti kwa vile dada yake kaolewa na Lowassa?,
  Ndugu yangu chitambikwa, nenda tuu kajipumsikie baada ya kutoka kwenye hayo matambikwa!.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh Mkuu huyo Jaji amepata wapi umaarufu wakati anasema mahakama inaongozwa na CCM!
   
 7. W

  WildCard JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Pasco,
  Huyu anawasaidia katika kumpa Lowasa umaarufu hata asiokuwa nao. Lubuva mwenyewe keshachoka hata kabla hajaanza kazi. Nilitamani tupate Mwenyekiti wa NEC asiye Mwanasheria lakini KATIBA yetu hii ya sasa bado inawabagua Watanzania wengine kwenye nafasi hii nyeti.
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  JApo naona kama umenilaumu sana lakini wote wenye NEPOTISM,(favoritism,bias) upendeleo huwa na visingizio hivyo hivyo tu ,kama ana record nzuri na anafaa sina shida lakini kwa nini afae wakati huu,na kulenga baadhi ya watu wenye kuhusishwa na udungu wa hayo atakayoyaongoza.
  Nakukumbusha kuwa Mseveni alimchagua Mke wake kuwa waziri kwa kisingizio kuwa hakuna mtu mwengine angepewa nafasi hiyo
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  HUYO JAJI MPUMBAVU KWELI... ANAJUA KABISA YUPO KWENYE LEGAL SYSTEM ILIYO CHINI YA WATU KAMA PINDI CHANA NA YEYE ANABAKI, NA KUPANDA MAVXV8 NA KUJA KULALAMA KWAKO

  KWELI KAMA NDIO WASOMI WETU KAMA HUYO JAJI TUNA SAFARI NDEFU

  INANIPA SHIDA IN A FEW HOURS FLIGH JAJI ANAZUNGUMZIA SINDANO YA MIONZI, LUBUVA NI SHEMEJI WA LOWASSA, LEGA SYSTEM IPO CHINI YA CCM HALAFU ANASHUKA KWENYE NDEGE NA MTUMBO-TUMBO WAKE (MAANA WENGI WANA VITAMBI KAMA WANAKULA JONGOO)... ANAINGIA KWENYE GARI TENA IMEPEWA SPECIAL PLATE NUMBER NA ANAKAA KITI CHA MBELE NA KUJISIKIA SPECIAL

  HE/SHE IS SUCH AN IDIOT wahed
   
 10. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ukitaka kupata udaku na umbea wa siku usikose kusoma jf...
   
 11. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli Lowassa anaogopwa, naam 2015 ndie Rais wa Tanzania hakuna ubishi.
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukweli utabaki palepale, EL ana nafasi kubwa ya kuwa rais wa TZ.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Bwana weee,mazoea mabaya
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tatizo letu wana JF tunaweka siasa ktk kila jambo

  kwa upande wangu kama vigezo vilizingatiwa haina shida,maana kama ni undugu basi kila chama hapa Tz kimejaza ndugu hakuna CCM wala CDM vyama vyoooooooote vimefanya uteuzi kwa kuangalia nani mtoto wa nani,

  ndio mambo yetu tz yalivyo

  acheni tusonge mbele,no way out juu ya undugu

  Nani aseme hapa kuwa CDM hakuna ndugu aliyeteuliwa kwa nafasi yeyote ile nani? ama CCM pia tumeona chaguzi za UVCCM na CDM Mambo ya undugu yamejaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

  ndio maisha tuliyojichagulia jamani
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu naunga mkono hoja ya NEC kuongozwa na mtanzania mwenye taaluma nyengine, kwa mfano uganda mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mhandisi.

  Kitu ambacho sina uhakika na ningependa uthibitisho ni kama kweli sheria inataka mwenyekiti wa NEC awe mwanasheria.
   
 16. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 17. k

  kuzou JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  -nendeni mahakamani sheria inasema mwenyekiti awe jaji. wenyeviti wote walopita si majaji ni majaji wastaaaafu.
  mfano sheria inasema mkuu wa chuo cha mahakama lzm awe jaji na siku zote wamekua majaji waliokazini si wastaafu AMKENI
   
 18. W

  WildCard JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sio Mwenyekiti tu, hata Makamu wake anatakiwa kuwa Mwanasheria tena Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama kuu au wenye sifa zinazolingana na hizo. Katiba ya JMT 74(1)- (a) na (b).
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  sijakulaumu nimekuuliza tuu na hukujibu?!.

  Sasa unakuja na hoja ya nepotism, Kikwete ******, Lowassa Mmeru, Lubuva Mrangi, sasa nepotisim gani hiyo?. Tena ni bahati nzuri Lubuva Mkristo, angemteua Muislamu ndio tungekoma.

  Tuwe wakweli toka ndani ya nafsi zetu rais Kikwete ni rais dhaifu lakini sio kila analofanya ni baya, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Pasco,

  Labda hujamuelewa vizuri chitambikwa, hajasema kwamba Lubuva ameteuliwa kwa kuwa ni m.k.w.e.r.e au mrangi au mkristo ama muislamu. Anachosema ni kwamba huyo jaji mstaafu ni shemeji yake na Lowasa, na ni kweli mke wa Lowasa ni mrangi!! Kwahiyo kama nimemuelwa vizuri chitambikwa, nepotism anayoizungumzia ni ya kikwete kumteua shemeji yake na lowasa kuwa mwenyekiti wa NEC.

  Huo ndio wasiwasi wake na hata mimi napata wasiwasi kwamba huenda uteuzi huo umefanyika kwa kumlenga Lowasa kama hizi kampeni za kumsafisha zinavyoendelea hapa JF na kwingineko kwenye vyombo vya habari. Suala la kwamba ametimiza vigezo vinavyohitajika hicho ni kitu kingine kabisa kwa muktadha wa hoja hii.
   
Loading...