Mwenyekiti NEC ampongeza Trasias Kagenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti NEC ampongeza Trasias Kagenzi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by meningitis, Apr 3, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Kwa mara ya kwanza katika historia, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini(NEC) ametoa pongezi kwa msimamizi wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki ndugu Trasias Kagenzi ambaye pia ni mkurugenzi wa halmashauri(w) ya Meru.

  My take: Kagenzi anstahili promotion.
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni kweli na nimeiona hiyo kwenye taarifa ya habari ya ITV lakini belive me badala ya promotion aidha atahamishwa au atashushwa cheo coz kashindwa kuwatetea walio muweka.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  CHADEMA ikichukua utawala wa nchi Kagenzi ategemee ulaji.
  Atakuwa Mkurugenzi au Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  hamna ubora wowote walibanwa hata hawakuweza iba kura,lema alikaba mpaka penati!yaani ilitakiwa apongeze cdm kwa kulinda
   
 5. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kagenzi anajaribu kutenda haki, hata kule Tarime kwa marehemu Chacha Wangwe ni yeye aliyetangaza matokeo bila ya mizengwe yoyote. Big up kagenzi.
   
 6. papason

  papason JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ila alituchingia baharini tena kinoma noma kwenye pingamizi letu la uraia wa sioi
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nasikia amehamishwa kama ullivyotabiri!
   
 8. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2016
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,672
  Trophy Points: 280
  RIP MKURUGENZI
   
Loading...