Mwenyekiti na Katibu wake CHADEMA Kata ya Shati waachia Ngazi

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,847
2,000
Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Shati,Wilayani Iramba,Bwa Ezekiel Makala -pamoja na Katibu wake Bwa.Joseph Kingu sambamba na wanachama wengine kutoka chama hicho cha CHADEMA,Bwa.Ayoub Gofrey kutoka kata ya Makunde,Julius Kizanda kata ya Mtekente na Ally Saleh kata ya Kisila walikulakila kiapo cha utii mara baada ya kutangaza rasmia kuachia ngazi nafasi zao na kuhamia chama cha CCM,kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika leo jioni kwenye stendi ya mabasi ya Kiomboi,wilayani Iramba mkoani Singida.

Viongozi hao wa CHADEMA walikiri wazi kwenye mkutano wa hadhara kuwa chama cha CCM,ndicho chama bora na kitaendelea kutokuwa na mpinzani siku hadi siku,kwa sababu kinaonesha nia ya dhati ya kuwa karibu na wananchi ikiwemo na kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao.
 
iMad

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,833
0
hivi hizi siasa za nmna hii hazichoshi..!!?? lkn bora hawa wamekuja na single mpya si ya ukabila na udini..
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Ninachowaza kwa sasa ni mgawanyo wa madaraka kwa wanaukawa 2015, baada ya ushindi wa kishindo.
Hizo chorus nyingine mbona zilishachuja kitambo!
Bora ungeniambia kuwa dk.lwaitama awachanachana mafisadi wa c.c.yem wanaotetea muundo wa serikali mbili hapo ningekuelewa.
 
WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
mwenyekiti wa chadema kata ya shati,wilayani iramba,bwa ezekiel makala -pamoja na katibu wake bwa.joseph kingu sambamba na wanachama wengine kutoka chama hicho cha chadema,bwa.ayoub gofrey kutoka kata ya makunde,julius kizanda kata ya mtekente na ally saleh kata ya kisila walikulakila kiapo cha utii mara baada ya kutangaza rasmia kuachia ngazi nafasi zao na kuhamia chama cha ccm,kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika leo jioni kwenye stendi ya mabasi ya kiomboi,wilayani iramba mkoani singida.

Viongozi hao wa chadema walikiri wazi kwenye mkutano wa hadhara kuwa chama cha ccm,ndicho chama bora na kitaendelea kutokuwa na mpinzani siku hadi siku,kwa sababu kinaonesha nia ya dhati ya kuwa karibu na wananchi ikiwemo na kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao.

lumumba buku 7 kazini,
ha!ha!haa! Intarahamwe muna vituko?.
 
hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,225
2,000
Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Shati,Wilayani Iramba,Bwa Ezekiel Makala -pamoja na Katibu wake Bwa.Joseph Kingu sambamba na wanachama wengine kutoka chama hicho cha CHADEMA,Bwa.Ayoub Gofrey kutoka kata ya Makunde,Julius Kizanda kata ya Mtekente na Ally Saleh kata ya Kisila walikulakila kiapo cha utii mara baada ya kutangaza rasmia kuachia ngazi nafasi zao na kuhamia chama cha CCM,kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika leo jioni kwenye stendi ya mabasi ya Kiomboi,wilayani Iramba mkoani Singida.

Viongozi hao wa CHADEMA walikiri wazi kwenye mkutano wa hadhara kuwa chama cha CCM,ndicho chama bora na kitaendelea kutokuwa na mpinzani siku hadi siku,kwa sababu kinaonesha nia ya dhati ya kuwa karibu na wananchi ikiwemo na kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao.

Wachumia tumbo hao,mpinzani wa kweli daima hatetereki!
 
Mndokanyi

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
629
250
CCM inahofu sana CHADEMA.itanunua mpaka balozi,ila wajue kwamba wanachama wa kununuliwa ni hatari kwa uhai wa chama.Badilikeni kimtazamo na mjali wananchi na sio hu usanii mnaofanya.Mwisho wa siku mtakuta mnamamluki na wasaka tonge tuu.
 
Yusuph Jr

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
217
170
Hakuna kata inayoitwa shati wala makunde iramba. Tena hakuna kata inayoitwa kisila.Jifunze vema kutunga uongo mwehu we.
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,847
2,000
Hakuna kata inayoitwa shati wala makunde iramba. Tena hakuna kata inayoitwa kisila.Jifunze vema kutunga uongo mwehu we.

Poleni sana chadema, Nina picha ila nimeshindwa kuweka nimesahau USB ingia www.issamichuzi.blogspot.com yeye ameweka mpaka picha, kwanini mnakanusha baadae mkiona ukweli mnawakana waliojiuzuru??? Mkubariane tu na hiyo hali.
 
Arnold Ringo

Verified Member
Jan 23, 2014
2,319
1,170
Ni kweli hatuwataki wachumia Tumbo kama hao Chadema tupo makini kuliko maelezo chama kwanza mengine baadae wacheni ugamba, muwapeleke lumumba kwenye buku 7
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,817
2,000
Mkuu Rich Pol ngoja waje vijana wa Slaa utasikia wana wakana. Chadema himekufa wamebaki ukawa.
 
Last edited by a moderator:

Arnold Ringo

Verified Member
Jan 23, 2014
2,319
1,170
Wanao ropoka na kauli chafu ni nyie buku 7, mnataka kupotezea b200 poleni ngoja wachunguzi waingie mwanze kumbuka wachumia tumpo
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,847
2,000
Mkuu Rich Pol ngoja waje vijana wa Slaa utasikia wana wakana. Chadema himekufa wamebaki ukawa.

Mkuu Ruttashobolwa sipati picha eti kila anaehama chadema hawamtambui au alishafukuzwa zamani, najua inawauma lakini wanajipa faraja, mpaka mwaka uishe watakuwa wamebaki watatu tu ktk chama.
 
Last edited by a moderator:

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
Utasikia Ben Saanane anakwambia hakuna cheo cha mwenyekiti na katibu wa Iramba CHADEMA. Hao ni wasaliti wamehongwa na CCM, halafu walishafukuzwa siku nyingi.
 
Last edited by a moderator:

Edward Sambai

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
2,459
2,000
Mwenyekiti wa CHADEMA kata
ya Shati,Wilayani Iramba,Bwa Ezekiel Makala -pamoja na Katibu wake
Bwa.Joseph Kingu sambamba na wanachama wengine kutoka chama hicho cha
CHADEMA,Bwa.Ayoub Gofrey kutoka kata ya Makunde,Julius Kizanda kata ya
Mtekente na Ally Saleh kata ya Kisila walikulakila kiapo cha utii mara
baada ya kutangaza rasmia kuachia ngazi nafasi zao na kuhamia chama cha
CCM,kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika leo jioni kwenye stendi ya
mabasi ya Kiomboi,wilayani Iramba mkoani Singida.

Viongozi hao wa CHADEMA walikiri wazi kwenye mkutano wa hadhara kuwa
chama cha CCM,ndicho chama bora na kitaendelea kutokuwa na mpinzani siku
hadi siku,kwa sababu kinaonesha nia ya dhati ya kuwa karibu na wananchi
ikiwemo na kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao.

Wakiwa Chadema walikula kiapo cha utii, wameamia ccm wamekula tena kiapo cha utii!!

Shame on you.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom