Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,057
Kwema wakuu?
Hivi Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini mahakaman kujibu tuhuma za ugaidi zinazomkabili?
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
 
Kama amegoma kutoa ushirikiano acha akae ndani kwanza hadi aanze kutoa ushirikiano. Sehemu salama ya Gaidi Mbowe ni huko huko jela chini ya ulinzi wa Polisi na kunguni.
 
Ushirikiano gani aliogoma kutoa?
 
Upelelezi ni zaidi ya miaka nenda rudi
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
Mama anaupiga mwingi, kama waitaly.
Kama amegoma kutoa ushirikiano acha akae ndani kwanza hadi aanze kutoa ushirikiano. Sehemu salama ya Gaidi Mbowe ni huko huko jela chini ya ulinzi wa Polisi na kunguni.
Subir apokeee kwanza Chanjo

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mnachonifurahisha ni kuwa mkshatuma post mnaalikana kuchangia ili ionekana kuwa mko wengi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom