Na huu ndo utendaji bora wa taasisi inayojitambua.Kesho yeye ndio ataongoza kikao cha KK baada kikao atakuja public kueleza maamzi ya KK.
Waambie JF wafunge jukwaa la siasa. jiulize pia unafanyaje hapa JF JLSBabu pambana na masuala yako binafsi achana na siasa hizi huu ni mchezo umechezeka
Wanaccm wana vita personal na Mbowe, ni mwiba mchungu kwao kwa sababu ni kiongozi imara sana na dhamira yao ni kuhakikisha Chadema inafutika sasa wanachukulia advantage kwenye hizi dhoruba zinazokikumba chama ili kufarakanisha kati ya mwenyekiti na wanachama. Lakini ukweli wanachadema tunaujua kuwa Mbowe ni kiongozi imara sana ndio maana tunamuita "MWAMBA". Asante kiongozi wetu kwa busara zako, umemtuma katibu mkuu ametangulia na ni imani yetu kuwa kesho mtatoa uamuzi sahihi kwa ajili ya ustawi wa chama.Mbowe hawezi kujitokeza kusema chochote juu ya hili kwa sababu alibariki mchakato mzima na aliridhia kilichotendeka hayo ni kwa mujibu wa Mdee alisema wazi kabisa kuwa Mbowe ameridhia sasa unatarajia Mbowe ajitokeza amkaange Mdee?!? haiwezekani.
kitakacho watafuna ni unafiki ulio komaa ndani ya chadema
Nyambu anaweza kua mtu yeyote hata baba yako na mama yako!Wameenda bungeni kwa baraka za Mbowe
Ndio maana Mbowe ametulia kimya, haya nyie nyumbxxxxx endeleeni kuzungusha mikono kwa style nyingine saivi .
ACT-Wazalendo bado inaweza vaa viatu,hatufuati chama hapa ila watu tunaowaamini watatuvusha,Mbowe naona keshafikia malengo ya biashara yake ya ujasilimali wa siasaLissu na zitto waanzishe Chama tutawafuata. CDM naona wanafuata maslahi yao tu.
Hata kampeni za Lisu hakuonekana na inaonekana yeye alipendelea Nyalandu lakini pamoja na hiyo kampeni za Lisu zilifaulu sana given mazingira yaliyokuwepo na nguvu kubwa sana ya dola iliyotumika.Kimsingi huyu bwana amekuwa akivuruga harakati nyingi sana sasa anatakiwa ajue bila Lisu hakuna cdm,kama tulivyosema awali kama Lisu hagombei kura atapga yeye na genge lake tumechoka na uhuni wakeHata mimi nimeshukuru kwakweli yaani CHADEMA wameonesha uhalisia wao mapema kabisa hahaahaahahahahaha hivi huyu mbowe si ndio angekua waziri mkuu huyu huyu mmh kuanzia leo sitawashabikia tena washenzi wakubwa hawa
Labda kuna kaukweli maana unaweza kuta wamepiga hesabu ya faida ya kifedha watakayoipata na pengine wameshafikia compromise na serikali kimya kimya ila sasa wanapima upepeo na kuona gia gani waje kuitumia,maana sikuelewa ile kauli ya Lisu kuomba maridhiano na serikali,ile ilikuwa ni kibali kwa bawacha kuingia serikalini,nataka nione mwisho wa huu mchezo utakuwaje na mimi itanisaidia kufanya maamuzi binafsi kuhusu mambo ya kisiasaKuhusiana na hii ishu ya wabunge wa Viti Maalum CHADEMA.
Naona watu wengi wanashindwa kuelewa nini kinaendelea juu ya kilichotokea leo, wapo wanaotaka hao wabunge wa viti maalumu waliokwenda kuapishwa leo, wafukuzwe chamani kwa kuwa wamekwenda kinyume na msimamo wa chama kama anavyosema Mnyika (Katibu Mkuu wa chama)
Ila me binafsi naona kama wafuasi wa CHADEMA wanachezewa 'mind game' na viongozi wapo wakuu wote wakiwemo Mnyika na Lissu.
Kwanini basi me nafikiri hivyo?
Juzi tu hapa Lissu pamoja na Zitto waliitisha mkutano na waandishi wa habari, ajabu katika mkutano huo wamezungumzia jambo ambalo linafahamika kwa kila mtu.
Wamezungumzia jambo ambalo walishalizingumzia muda si, mwingi sana.
Sasa mtu unajiuliza nini lengo la hawa jamaa kuwaita wanahabari na kuwaambia kwamba hawatambui matokeo ya uchaguzi huu na hawatashirikiana na serikali iliyopo madarakani hivi sasa?
Si hata mwezi haujaisha wamelisema hili?
Kwanini juzi wameamua kulirudia tena?
Kwa sababu walikuwa wanajua nini kitatokea ndani ya muda mfupi ujao, na wao ni sehemu ya maamuzi hayo ila tu wanawahadaa wafuasi wao ili ionekane kwamba wao wana misimamo isiyoyumba.
Kinachofuata muda si mrefu ni Maalim Seif kujiunga na serikali ya Mwinyi then game over, hakuna cha uchaguzi haukuwa wa kidemokrasia wala haki za binadamu zimevunjwa.
Kazi kwenu mnaoamini.
We mbwx una matatizo upstairs!Wameenda bungeni kwa baraka za Mbowe
Ndio maana Mbowe ametulia kimya, haya nyie nyumbxxxxx endeleeni kuzungusha mikono kwa style nyingine saivi .