Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi.
Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti.
Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu?
Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka utaratibu na kujiwasilisha wenyewe kwa Spika kuapishwa kama wabunge na bado hazijachukuliwa hatua kali kabisa dhidi yao?
Wakuu, kwa mwendo huu mbona mnatuchanganya?
Kama mtaendelea na Kigugumizi hiki tegemeeni kuzinduliwa kwa chama kingine kitakacho kuwa na dhamira ya dhati.
Mheshimiwa Lissu kwa misimamo yako thabiti tafadhali tambua kuwa hauko na hautakuwa peke yako.
Aluta continua!.

Upinzani, Aluta Continua! Ni lazima kupigania kupata haki, uhuru na maendeleo japo haitakuwa rahisi
Mabibi na mabwana na hasa wale wazalendo mapambano kudai haki, uhuru na maendeleo bado yanaendelea. Alisema J. J. Rawlings (rip): "Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye mtawala (rais), itakuwa ni lazima afanye kile ambacho Waghana (wananchi) wanataka na wala siyo kile...
www.jamiiforums.com