Mwenyekiti James Mbatia msaidie Mwanachama wako mwenye kadi namba moja Mabere Marando arudi nyumbani huko ugenini anapata tabu

Nikisoma nyuzi kama hizi na comments za watu hua nabaki kujiuliza kama kweli watu hawamjui MNM ni agent mwandamizi wa kitengo. Kama ni kutelekezwa atakua katelekezwa na muajiri wake original wala sio chama chochote cha siasa, tena baada ya kukamilisha kazi aliyotumwa upinzani. James yeye bado anahitajika kwahiyo anazidi kuwezeshwa
 
Jamaa alijipa kazi ya kuvuruga uchaguzi kwa kutaka kutangaza matokeo feki.Mungu fundi sana
 
Hii mentality ya kuamini kwamba mtu akiwa na siasa za kistaarabu na zenye kutanguliza maslahi ya Taifa anasingiziwa kuwa ni CCM siyo sawa kabisa

Siasa za harakati na uchonganishi wa Taifa letu dhidi Mataifa makubwa hazitatusaidia

NCCR Mageuzi ikirejea kuwa kiongozi wa Mageuzi nchi yetu itafaidika zaidi kuliko ilivyo sasa
Misukule unadhani Ina ufahamu Basi wa kuelewa ulichoandika
 
Hii mentality ya kuamini kwamba mtu akiwa na siasa za kistaarabu na zenye kutanguliza maslahi ya Taifa anasingiziwa kuwa ni CCM siyo sawa kabisa

Siasa za harakati na uchonganishi wa Taifa letu dhidi Mataifa makubwa hazitatusaidia

NCCR Mageuzi ikirejea kuwa kiongozi wa Mageuzi nchi yetu itafaidika zaidi kuliko ilivyo sasa
Mkuu hivi ni kweli Lissu alipigwa risasi?
Hivi ni kweli Nape alitishiwa kwa bastora?
Hivi ni kweli Lissu alinyanganywa ubunge?
Hivi ni kweli Azory na Kanguye awapatikani?
 
Mnadanganya idadi ya vifo na wagonjwa, huku mnafanya maombi!
• Mnaacha Baa zote nchini wazi, watu wanalewa na kuzini usiku kucha, huku mnaendelea kufanya maombi!
Watanzania wenzangu, tuambizane ukweli, hakuna Mungu atakayepokea maombi yetu, labda Mungu wa Chato
 
Back
Top Bottom