Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Mwenyekiti wa CCM.., hebu tueleze sasa.., hivi ile taarifa yako ambayo umeipokea jana, imemtaja Chenge (mwenyekiti wa bunge) na wanachama wako wengine (wapatao 12)..., Je, wanapaswa kuendelea kuwa viongozi wa umma na wanachama wako!? Ikiwa, wewe unajipambanua kwamba haupendi wezi, Mafisadi, wabadhirifu na matapeli..., sasa, hawa wanachama wako hadi sasa kwanini hawajarudisha kadi za chama chetu!? Chenge kwanini bado ni mwenyekiti wa bunge!??? Just asking!