sweya lugendo
Member
- Dec 7, 2013
- 56
- 22
Leo tarehe 15/12/2013 Siku ya jumapil kutakuwa na mkutano mkuu wa CHADEMA utaanza saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni , utakao fanyika uwanja wa shule ya msingi nyamalango pembeni kidogo na chuo kikuu cha SAUT, mkutano huo ulioandaliwa na tawi La CHADEMA SAUT, mkutano mkuu huo utahutubiwa na wabunge wa chama pamoja na Mh MBOWE,