MWENYEKITI CHADEMA TAIFA. Leo atahutubia wasomi chuo cha SAUT

sweya lugendo

Member
Dec 7, 2013
56
22
Leo tarehe 15/12/2013 Siku ya jumapil kutakuwa na mkutano mkuu wa CHADEMA utaanza saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni , utakao fanyika uwanja wa shule ya msingi nyamalango pembeni kidogo na chuo kikuu cha SAUT, mkutano huo ulioandaliwa na tawi La CHADEMA SAUT, mkutano mkuu huo utahutubiwa na wabunge wa chama pamoja na Mh MBOWE,
 
Ulinzi wa chama upo kwa viongozi wake pamoja na raia, maana haya ma CCM hayapendi kuona vyama vingine vikifanya mkutano.
 
This is good. Kwa walio mwanza unaweza kuwaelekeza wafikeje?

Asante sana tutakuwepo wakazi ili wanaotoa matamko wakome kabisa. Kumbe kamanda kalala mwanza
 
The heading does not reflect the place where the political rally is going to take place, "Over exaggerations"!!!!!!
 
Leo tarehe 15/12/2013 Siku ya jumapil kutakuwa na mkutano mkuu wa CHADEMA utaanza saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni , utakao fanyika uwanja wa shule ya msingi nyamalango pembeni kidogo na chuo kikuu cha SAUT, mkutano huo ulioandaliwa na tawi La CHADEMA SAUT, mkutano mkuu huo utahutubiwa na wabunge wa chama pamoja na Mh MBOWE,

hana lolote huyo, namchukia sana kwa kitendo chake na wapuuzi wenzake kumtelekeza tata Bob makani alivyougua.Baada ya kufa ndio wakaja na ngonjera nyingi! Jana alikuwa akitaja mara kwa mara jina la makani akidhani wasukuma hatujui uhuni wao, hatudanganyiki na 2015 mtaisoma namba, manyang'au nyie
 
Mpaka sasa makamanda wa chadema saut wanaweka mambo sawa hususan jukwaa maeneo ya s/msingi sweya
 
Back
Top Bottom