Mwenyekiti CHADEMA taifa Freeman Mbowe akikagua uhai wa chama Mkoa wa Lindi

Hata chadomo wanakwapua. Tulikwapua Bilioni 11 tukampa chama fisadi. Tukakamua rambi rambi za kamanda mawazo na leo tumeitelekeza familia yake na bado tunakaribia kukwapua billioni 13.9 za kadi za electronic
sio kuwa hata family ya Nyerere ccm wameitupa kule kama walivyo mtupa SHIGONGO NA MAGAZETI YAKE YA UDAKU.


SWISSME
 
Huko Nachingwea na kusini kwa ujumla wanajisumbua bure. Kwa sasa hawataki kabisa kusikia kuhusu CHADEMA. Labda Ndanda kidogo

ukiona hivyo ujue nguvu tu iliyotumika hapo sio mchezo , yaani mwenyekiti anakomaa ili walau morali ya cdm ya 2010 irudi baada ya makamanda kukata tamaa kwa kuuza cham kwa 10b
 
hahahaha tofautisha lema na Nyerere

Huna Elimu ya juu

swissme
Wote wanasiasa au tofauti yao ni nini?

Hapo juu umesema familia ya nyerere na hukusema Nyerere mwenyewe. Au kwa tafsiri yako kama baba rais basi mama na watoto nao wanakuwa Marais?

Chadema bwana halafu unasema sina elimu ya juu. Acha nikukubalie tuu hahahahahahaha

Umenifurahisha sana
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi wa chama hicho kuanzia ngazi vitongoji mpaka Jimbo waliofika katika kata ya Nambambo Jimbo la Nachingwea Mkoa wa Lindi.

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akisaini kitabu cha wageni katika kata ya Nambambo Jimbo la Nachingwea Mkoani Lindi na Kushiriki kikao cha ndani chenye lengo la kukagua uhai wa chama na kuwashirikisha viongozi wa chama ngazi ya vitongoji mpaka ngazi ya Jimbo pamoja na kuwashirikisha viongozi wa kiserikali waliotokana na CHADEMA.

Akifungua kikao cha ndani Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini, Mhe. Namangaya amemueleza Mwenyekiti wa chama Taifa ikiwa ni pamoja na kuonyesha jinsi mwamko mkubwa wa watu wa Mkoa wa Lindi wanavyoyataka mabadiliko.

Huku Mbunge wa Ndanda Mhe. Cecil Mwambe akiwahakikishi viongozi wa kichama kuanzia ngazi ya vitongoji mpaka Jimbo waliofika kwenye kikao hicho kushirikiana nao ili kubadilishana uzoefu ambao utapelekea kupata mafanikio kama walivyopata watu wa Ndanda kwa kumchagua na kuwatumikia na kuwaahidi kutumikia watu wa Mkoa wa Lindi kama anavyowatumikia watu wa Mkoa wa Mtwara.
View attachment 439436 View attachment 439437 View attachment 439438 View attachment 439439
Sio anakagua uhai wa chama, sema "anakagua uwekezaji wa baba mkwe"
 
sio kuwa hata family ya Nyerere ccm wameitupa kule kama walivyo mtupa SHIGONGO NA MAGAZETI YAKE YA UDAKU.


SWISSME

Sio kuwa hata Saccos ya ufipa ilivyomtupa Lemma na Siasa zake za mihemko

hahahaha tofautisha lema na Nyerere

Huna Elimu ya juu

swissme

Wote wanasiasa au tofauti yao ni nini?

Hapo juu umesema familia ya nyerere na hukusema Nyerere mwenyewe. Au kwa tafsiri yako kama baba rais basi mama na watoto nao wanakuwa Marais?

Chadema bwana halafu unasema sina elimu ya juu. Acha nikukubalie tuu hahahahahahaha

Umenifurahisha sana

back to school Dude



swissme

Nadhani wanajamvi washajua nani atakiwa arudi shule kati yangu mimi na wewe.

Kweli nimeamini Wafuasi wa Chadema ni Zero Brain
 
Muulize JPM atakwambia jinsi Chadema inavyotisha
Hahahaha Niwaulize Chadema jinsi JPM anavyotisha mpaka inafikia kipindi mwenyekiti anafika lindi watu hawana taarifa. Mpaka JF waleta thread za Chadema wamebaki wawili tuu. Mpaka lema leo anashinda magereza wiki ya tatu na Arusha kimya hata chokochoko hakuna.

Sawa mkuu nimekuelewa na ntawauliza
 
Acha utetezi wa kipuuzi vile vikao vya mbezi beach vilihusu wanachama wote?

Kubalini tu sikuhizi publicity hamna tena na serikali imeacha kuwapa kiki za kufanyia matukio.

Ukiacha wewe na mwanahabari huru kuleta habari za CHAga DEvelopment MAnifesto (CHADEMA) watu lazima wawakimbie
Jiongeze kidogo na wewe...
Soma uelewa kabla kukurupuka kuandika pumba
 
Unaelewa maana ya vikao vya nje ?
Naelewa maana ya vikao vya nje. Hata kama ni vikao vya ndani iweje kusiwe na ile amsha amsha kama ya kabla ya uchaguzi?

Vikao vya ndani haimaanishi kutokwenda airport au kumsubiri mwenyekiti akiwasiri kutoka huko alikokuwa.

Mnatuletea picha wako kikaoni wamechooooka.
Kweli chama cha Chadomo Kimeishiwa.

****************************************
<- This thread is marked as closed and There will be No futher post or replies from Danny greeny ->
 
Ni vizuri kuweka misingi ktk ngazi za chini kabisa huko ndiko kuna wanachama na uhai wa chama
 
Back
Top Bottom