Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Elisa Mungure ashambuliwa kwa mapanga akimbizwa hospitali

Heri waliochagua kuwa Wapagani au wanaoabudu ngombe/sanamu kuliko sisi tunaojidai kujmua Mungu ila ni waovu kuliko hata Ibilisi!

Wanaogiza/wanaobariki mambo haya siku za Ibada utaona wako siti za mbele eti wakimuomba Mungu!!
good sana ata mmi nakuunga mkono!!! wengi wetu tunajifanya tupo karibu sana na mungu!! kumbe poteza
 
Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Arusha na Mgombea udiwani kata ya kikatiti Mhe.Elisa Mungure amevamiwa na kushambuliwa na greenguard walioambatana na @tanpol
, Mhe. Mungure amejeruhiwa vibaya kwa mapanga na amekimbizwa hosipitali.

View attachment 1614967View attachment 1614969
Ila chama chetu hakipo serious kweli kabisa huyo kwenye wheel chair bila hata kitone cha damu kapigwa na kukatwa mapanga kweli jamani tuacheni drama basi na maisha huu utupolo umezidi tutakaribia kuchoka kupambani watu ambao hata hawajali.Juzi mkutano wa heche watu wamepigwa risasi limejikimbiza kulia tweeter,leo mawakala wamekamatwa limekimbia kulilia tweeter limbowe nalo walinzi wamekamatwa linakuja kulia tweeter,vituo Feki linalia tweeter mnaibiwa kura mnalia tweeter,wanatanganza mshindi mnakuja kulia tweeter maandamano mnayaongoza kwa comment na maisha yanaendelea tukutane 2025 vijana wa Bavicha hawa bandugu ndo wa kuwaondoa kwanza kabla ya kuiondoa CCM.Vijana wa Bavicha tuna kazi ya kufanya na sio hawa mbumbumbu wa kuliakulia mitandaoni let's get to work tushapoteza huu uchaguzi tukutane 2025
 
Mashetani ya kijani yapo kazini.

Hivi jiwe ni mtanzania mwenye damu yetu kweli?!
 
CDM mlichoma ofisi zenu, mkamuua Chacha Wangwe, nk, mtashindwa kutengeneza uhuni huo?
Kwhyo mbowe na wenzke walfungwa miaka mingapi??yani nyie mavi tu yamewajaa kchwan na makamasi!!mnaongea tu kama vile mpo chooni mnakunya ndo mnalog in jf kuongea upupu!!PATHETIC
 
Back
Top Bottom