Mwenyekiti chadema kanda ya kusini awachana Slaa na Mbowe.

Status
Not open for further replies.

kitambiheshima

JF-Expert Member
May 27, 2013
452
116
Mwenyekiti wa chadema kanda ya kusini Joseph Matiku Matare, leo katika viwanja vya soko kuu Songea amethubutu kile ambacho wengine ndani ya chadema hawawezi kufanya mbele ya Dr. Slaa na Mbowe.

Amesema kuhusu sakata linaloendelea la Zitto Kabwe, Mbowe na Slaa nao wakicheza watakwenda na maji kwani chadema siyo mali yao bali ni mali ya wanachama.
 
Dr. Slaa hajafanya yake huko?!

Dr. Slaa, weka mbali na wake za watu.
 
Hujamwelewa, yaani hata yeye matiku matare anaweza kwenda na maji

Dr. Slaa na Mh. Mbowe ifike mahali waelewe kwamba CHADEMA inaendeshwa kwa hela za Watanzania wote bila ya kujali ni Watanzania wa Moshi, Kilimanjaro au Songea, Ruvuma.
 
Awe na spirit hiyohiyo kuwaeleza viongozi wa kitaifa wanapofika maeneo hayo, kwanini kusini ipo nyuma kimaendeleo?
 
Ni kweli, hajakosea. Ametumia neno 'nao', akimaanisha iwapo watafanya usaliti kama wa Zitto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom