Mwenyekiti CCM Rorya: Viongozi Wa Kitaifa Wanakiua Chama!

Aache kunywa viroba kabla ya kuongea ili aeleweke anakusudia kusema nini. Kwa sababu kama anamsema Magufuli lazima ajue matatizo ya kumsema rais.
 
Aache kunywa viroba kabla ya kuongea ili aeleweke anakusudia kusema nini. Kwa sababu kama anamsema Magufuli lazima ajue matatizo ya kumsema rais.
Takukuru wakimchunguza kwa kiina watabaini mengi yaliyojificha Huyo Jamaa ni bonge la msanii na Tapeli mkubwa.
 
Aache kunywa viroba kabla ya kuongea ili aeleweke anakusudia kusema nini. Kwa sababu kama anamsema Magufuli lazima ajue matatizo ya kumsema rais.

Mkuu Andrew, Huyu jamaa ni kama Mungu Mtu Rorya, hawa ni wapambe wa Lameck Airo yule munge asiyejua kusoma. Abu kweli, Halmashauri ya Rorya ni yao. Mirada yote ni yao
 
Hawa ndio mafisadi mnaowasikia. Mara Nyingi sana huyu mtu na Lameck Airo wanatishia watu, tena kwa kufyatuliwa bastola bila polisi kuchukua hatua wakati wapo. Miradi yote ya almashauri ya Rorya wanamiliki wao. Kwa mfano miradi yote ya Barabara wanamiliki wao. Watu watasema majungu lakini picha ndio hizo hapo

La-Kairo ni yule jamaa aliyekuwa Team Lowassa (mfadhili mkuu) kanda ya Ziwa, Lameck Airo, mbunge wa Rorya. Namba tatu alikuwa ni kama Katibu wa Mipango ya Lowassa

lAKAIRO.jpg
 
Bashe si aliambiwa si raia na sasa ni mbunge tumeshawazoea. Picha lianze namba tatu, stuka bonge kafungwa kapasta akili inastuka. nakusalimia samweli kiboye (oyaore) mbuya warae tata.
 
Kwenye ujinga wake ambao wengi tunauona kama ujinga,kuna mantiki,mimi pia ni ccm damu na nimewahi kulalamika hapa,bunge kutooneshwa live kunatumaliza,mitaani watu wamekuwa wachungu,wana habari hawatupendi tena kama zamani
 
Mkuu Andrew, Huyu jamaa ni kama Mungu Mtu Rorya, hawa ni wapambe wa Lameck Airo yule munge asiyejua kusoma. Abu kweli, Halmashauri ya Rorya ni yao. Mirada yote ni yao
Anaitwa Gerad a.k.a Namba tatu, Ni Mwizi balaa huwa anatumia jina la ikulu kuwatapeli wazee wa huko huko kwake na Tarime kote hasa Kipindi hiki cha Majipu kakitumia Vizuri kula pesa za wazee wale washamba washamba kwa kisingizio cha kuzuia wasije kuchunguzwa mali zao zikatumbuliwa JIPU anaeneza story kuwa Kipindi hiki ni kama cha Sokoinne wote watakamatwa kama wana mali nyingi, Takukuru mtizameni huyo kwa jicho la Tatu.
 
Kwani huyu jamaa anaishi nchi gani? Mbona chama chake kilishakufa siku nyingi? Wakati wa kampeni motto ilisema CHAGUA MAGUFULI. Hakuna mtu aliyechagua CCM.
 
Mkuu utakuwa unakujua zaidi yangu. Huku ryagoro sikujui, ila tariffa ni kwamba huyu hatakikani na wananchi?
Namfahamu at personal level. pamoja na upayukaji wake lakini asingeweza kwenda mbali hivyo. Kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna watu wanampakazia kwa nia ya kumwondoa ofisini.
 
Wengine humu wanakalia majungu kuliko ukweli wa mambo. Kuna mtu anasema mbunge wa Rorya Lameck Airo hajui kuandika. Hivi anamjua Lakairo au anatumia akili ya kwenye vijiwe vya kahawa? Mtu hata kama humpendi, sio lazima umchafulie jina kwa vitu ambavyo huna uhakika navyo.
 
Anaitwa Gerad a.k.a Namba tatu, Ni Mwizi balaa huwa anatumia jina la ikulu kuwatapeli wazee wa huko huko kwake na Tarime kote hasa Kipindi hiki cha Majipu kakitumia Vizuri kula pesa za wazee wale washamba washamba kwa kisingizio cha kuzuia wasije kuchunguzwa mali zao zikatumbuliwa JIPU anaeneza story kuwa Kipindi hiki ni kama cha Sokoinne wote watakamatwa kama wana mali nyingi, Takukuru mtizameni huyo kwa jicho la Tatu.
Katika mabandiko yako yote mbona sijaona ukijadili point alizosema badala yake unamshambulia yeye as a person? Jaribu kujibu na hoja zake basi
 
Bashe si aliambiwa si raia na sasa ni mbunge tumeshawazoea. Picha lianze namba tatu, stuka bonge kafungwa kapasta akili inastuka. nakusalimia samweli kiboye (oyaore) mbuya warae tata.
Na yeye pia si Raia wa Tanzania bali ni mhamiaji haramu mwenye asili ya Uganda na Kenya.
 
Na yeye pia si Raia wa Tanzania bali ni mhamiaji haramu mwenye asili ya Uganda na Kenya.
Huyu namba tatu siyo. Raia wa Tanzania?. Ninachojua ni kwamba, ni mfanya biashara za magendo. Anaelewa Kenya Ngozi za wanyama Pori Pamoja na mahindi, sukari etc... Hizi wanaiba kwenye magala ya serikali
 
Wengine humu wanakalia majungu kuliko ukweli wa mambo. Kuna mtu anasema mbunge wa Rorya Lameck Airo hajui kuandika. Hivi anamjua Lakairo au anatumia akili ya kwenye vijiwe vya kahawa? Mtu hata kama humpendi, sio lazima umchafulie jina kwa vitu ambavyo huna uhakika navyo.
Mkuu, hatuna uhakika na elimu ya huyu mheshimiwa. Hivi anaelimu gani, maana nasikia amewahi kupanda majukwaani na kusema Lasaba Oyee
 
Sasa kama mtu hana uhakika, kwa nini aseme hajui kuandika? Kwani la saba hawajui kuandika?
Mkuu, sidhani Airo ni ntu mbaya, nuksi ni wapambe wake. Wakina ochele na namba tatu. Hawa watu ni tatizo. Wanapofika hatua ya kuwafuatulia wananchi risasi, hapo kuna tatizo
 
Back
Top Bottom