Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini.

Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya.

Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake.

Chanzo: HAROUBTV.
 
Nyuzi vila picha hazinogi inabidi tupate picha ya mrubuniwa?mrubuni,mpeleka mashtaka kwa RC na RPC,na wapelekewa mashtaka.Halafu kitu kingine kinachonishangaza unampelekea malalamiko chalamila ambaye pia nae usikute nae anataka kumrubuni huyohuyo mtoto
 
Ingia Youtube search Haroubtv utaona video full
 
Nna imani issue hiyo haikufika kwa Chalamila
Lazima huyo mzee kapigwa danadana kuonana na Rc, Chalamila akiipata hiyo huyo
Mwenyekiti ataisoma # kama kweli hizo tuhuma ni kweli

Ova
 
Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini.

Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya.

Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake.

Chanzo: HAROUBTV.
Hili asiwaze sana maana siku hizi hakuna kulindana na huyo rc ajiandae kabisa kuucheza mchezo wa mama Samia
 
Nna imani issue hiyo haikufika kwa Chalamila
Lazima huyo mzee kapigwa danadana kuonana na Rc, Chalamila akiipata hiyo huyo
Mwenyekiti ataisoma # kama kweli hizo tuhuma ni kweli

Ova
Unajuwaje kama huyo mwenyekiti ni mshikaji wa Charamila maana wote ni wenyekiti wa ccm?

Kumbuka Charamila alikuwa mwenyekiti wa chama pale iringa.
 
Back
Top Bottom