Mwenye wimbo wa "mbele kwa mbele" anitumie niweke Ringtone

Mi nashangaa top 10 za nyinbo kwenye redio na tv zote haupo, wakati sahizi ndio wimbo maarufu zaidi kwa Watanzania wengi, au madj wanaubania nini? Ulipaswa ushike namba moja huu.
 
namba.jpg
 
Huo
 

Attachments

  • VID-20160909-WA0005.mp4
    499.8 KB · Views: 30
Back
Top Bottom