hoter.one5
Member
- Sep 9, 2013
- 22
- 225
Habari nahitaji mtu mwenye taaluma ya Civil Engineering tushirikiane kusajili kampuni CRB kama uko serious naomba tuwasiliane. Mengi tutazungumza kwa nia tutakayokubaliana ila naomba mshiriki atambue.
Napatikana Songea mjini na ndiko iliko ofisi yetu
Mawasiliano 0764630882
Napatikana Songea mjini na ndiko iliko ofisi yetu
Mawasiliano 0764630882