Dominic Myumbilwa
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 190
- 93
sumsung ndo zile zinatengenezwa Bukoba?
sumsung ndo zile zinatengenezwa Bukoba?
Ios iko stable bwana siyo kama android sijui google.com has failed todo what na yale ma failure failure mengi.
Halafu ios haihitaji u format format simu kama android huwezi tumia simu ya android mwaka mzima pasipo kuiformat kitu ambacho kwa ios kinawezekana.
Ios ni stable sana na haicrash crash kama android
Xiaomi ina technology gan kuzizidi iPhone na SamsungKuna Simu Zina Teknolojia Nzuri Kuliko iPhone na Samsung, Xiaomi ni Moja Wapo, Yawezekana Ikawa ni Jina Geni Sana Kwa Baadhi Yetu
We jamaa ulidukua akili ya Einstein nin...hahahahahaha saf sana mkuu...again swal zuri sana hilo...
how?Will take that as a compliment, thanks a bunch, but I mean this is far from rocket science, because we can judge from our own experiences of these devices we use incessantly.
Kwamba iphone ukitumia wasivyopenda huwezi kurukiwa na wazee wa TCRA au Kamanda Mambosasa?
Come on now!
Sorry Nilijichanganya Ilikuwa FBI kwa maana ndio wanahusika kwa kiasi kikubwa na Upelelezi wa Ndani ya Nchi...
Haya majina huwa yanafanya Wakati mwingine mtu anajisahau na kuchanganya wapi pa kutumia kwa Sababu yote Ni Mashirika ya Upelelezi na Mmoja ni Upelelezi wa ndani ambaye Ni FBI- Federal breau of Investigation...
CIA- Central Inteligency Agency hawa ni ujasusi...
how?
swala la chaja liache kwanza...hapo tu maana yake hyo kitu sio friendly user.hebu niambie mfano ubora wa hardware na security ya iPhone 6s ya mwaka 2015 sept na s6 edge ya mwaka 2015 march.
Ipi ni simu star duniani kati ya iphone na sumsung?
April mwaka jana nlinunua iPhone 7.MKUU KWANZA UMESHAWAHK MILIKI IPHONE 6 MPYA? TENA OG ISIWE MCHINA.. KWENYE HARDWARE IPHONE KWAKO VZURI KULIKO SAMSUNG
IPHONE HAICHELEWI KUKWARUZIKA NA KUCHUNIKA
IPHONE OG HAMNA HILO JAMBO
KILA SIKU INAKUWA MPYA
KWENYE SECURITY SIHITAJI MAELEZO KWA SABABU SAMSUNG ZINADUKULIWA NA KUFLASHIWA HOVYO NDYO MAANA WEZI HAWAIBI SIMU YA IPHONE KWA KUWA HAKUNA WA KUMUUZIA
Walikuwa Tayari kuja kama Wangealikwa na Serikali kama wangeruhusiwa kisheria huwa wanakuja...
FBI hawafanyi kazi ya Upelelezi nje ya USA bila kuruhusiwa na Mamlaka ya Nchi au eneo husika..
Kumbe mpaka Jamii forums wabannwe??
Sasa USA kwa katiba Yao na Sheria za Kimtandao hakuna Kubana Mtu hata kama wewe ni nani....
Kwa hapa kwetu vitisho na Kuvunja sheria Wanaweza wakakutisha ukaachia..
hahahhahhhahahaha....mkuu umetishaIphone kama unajijua kichwa chako nitiamaji tiamaji usithubutu kuweka patten utajuta
unajua huwa najaribu kufikiria.....hiv kwel taifa kubwa lenye vyombo vya ulinzi na usalama kama marekani...washindwe kudukua iPhone...hahahahahahahahahah ni sawasawa ushindwe kufungua chumba cha houseboy wako et tu kisa funguo kaenda nayo dukan na nyumba ulijenga wew.Wrong again.
Umefanya li crime ambalo FBI limewauma, umeshusha li jengo la ubalozi Oysterbay FBI watashindwa kuja bongo kuchunguza kisa eti hujatoa ruhusa? Wakati nusu ya maisha yetu wanaya sponsor wao?
Huwajui wale watemi wewe.
Thats right, wanaweza kukutisha ukaachia information za wateja.
My gut feeling is that Jamiiforums wanatoa IP information zetu. Why? Because the crux of the legal defense that they presented in court ni kwamba walidai kwamba hawakuwa served proper notices and subpoena, na kwamba sheria haiwabani watoe infomation za wachangiaji. Hawajawahi kusema sisi Jamiiforums tunapinga in principle kutoa information za wachangiaji na tunapinga hii sheria kwa vile it flies in the face of the constitution which confers a sanctimonious right to free speech.
Kwa hiyo hili la kusema iphone has full-proof security is preatty much a fairy tale confidence. Hata iphone inaweza kutingishwa.
And let me just wrap it up by saying, the only reason nalazimika kutumia iphone ni kwa vile user-friendly android phone yangu ya miaka mingi inagoma kuingia online kama nikifunga VPN. Kwa hiyo the long and short of it all ni kwamba hata iphone inahitaji msaada wa VPN ili isiweze kudukuliwa.
Kwa nyie hamna shida kuchangiangoja sisi huawei tukae kimya tu
HahaaaaaaaKwa nyie hamna shida kuchangia
Ila kiukweli kwa watu wa Tecno nadhani hii mada wangebakia wasomaji comment inatosha
With all due their respect Tecno user
whats wrong with tecno? unajua kuna siku nlishangaa sana,kuna jamaa alikua ana Tecno phantom 8,akatokea mtu ana iPhone 5,kuna mtu pemben akaibeza ile phantom akisema "iPhone sim bwana,tecno ule uchafu tu". Ndo haya mambo ya kukariri kwamba kila iPhone ni expensiveKwa nyie hamna shida kuchangia
Ila kiukweli kwa watu wa Tecno nadhani hii mada wangebakia wasomaji comment inatosha
With all due their respect Tecno user