Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,006
- 6,673
Wanabodi naipenda sana hii gari niliendesha ya rafiki yangu inatambaa kama ndege halafu ni comfortable naomba mwenye uzoefu nayo kama service na spare party kabla sijatumbukia
Nunua tu, parts almost zote zipo, ila usitegemee bei kama ya toyota vitz, moja ya magari mazuri kumiliki Tanzania ni VW, Touareg ikiwa mojawapo. Ukiweza nunua 3.0TDi mengi watu wanaagiza japan ni 3.2 Petrol.Wanabodi naipenda sana hii gari niliendesha ya rafiki yangu inatambaa kama ndege halafu ni comfortable naomba mwenye uzoefu nayo kama service na spare party kabla sijatumbukia
Mkuu 3.0TDi ni tofauti sana 3.2 petrol au ni engine capacity tuu?Nunua tu, parts almost zote zipo, ila usitegemee bei kama ya toyota vitz, moja ya magari mazuri kumiliki Tanzania ni VW, Touareg ikiwa mojawapo. Ukiweza nunua 3.0TDi mengi watu wanaagiza japan ni 3.2 Petrol.
Tdi ni V6 turbo dieselMkuu 3.0TDi ni tofauti sana 3.2 petrol au ni engine capacity tuu?
Nunua tu, parts almost zote zipo, ila usitegemee bei kama ya toyota vitz, moja ya magari mazuri kumiliki Tanzania ni VW, Touareg ikiwa mojawapo. Ukiweza nunua 3.0TDi mengi watu wanaagiza japan ni 3.2 Petrol.
Mkuu RRondo,
hiyo ya diesel ni nzuri zaidi? nipe details zaidi kaka as i am looking to buy one esp consumption and services zake. Japan zinapatikana au hadi UK?