Mwenye Uzoefu na Samsung galaxy a21s

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,492
2,357
Habari,

Mwenye uzoefu na hii simu naomba kujua pros and cons zake.

Uzuri wake, changamoto yake, ukaaji wa chaji, camera nk

Nina 350,000 nataka nivute hii kitu.

Nakaribisha ushauri, hoja, povu,pongezi,lalamiko nk

Idumu JF

Mr Confidential
 
Habari,

Mwenye uzoefu na hii simu naomba kujua pros and cons zake.

Uzuri wake, changamoto yake, ukaaji wa chaji, camera nk

Nina 350,000k nataka nivute hii kitu.

Nakaribisha ushauri, hoja, povu,pongezi,lalamiko nk

Idumu JF

Mr Confidential
uzuri wake
-processor yake ni efficient sana ni 8nm
-battery kubwa la 5000mah, pamoja na efficient processor inakaa sana na charge.
-camera nzuri
-band zote za LTE Tanzania, hivyo kila mtandao utapata 4g.

ubaya wake
-kioo sio super amoled na ni 720p tu
-processor yake haina nguvu kivile inafaa tu mambo madogo
 
Super amoled naipata kwenye simu gani mkuu kwa budget hii 350k adi 380k
 
Sikuwahi kujua kama Samsung A20s ni ghali hivi

350,000K=350,000,000 yaani milioni mia tatu hamsini..Mkuu una hela sana

Joking..Ilibidi uandike 350k na sio 350,000K
 
A20s kwa Mtawa shop - Mbeya, nilimchukulia jamaa angu kwa 370k tu..! Hili duka wanauza simu bei chee sijui kwanini..
 
Nilinunua A 50 mwaka jana.. sijawai juta... inafanya kila kitu kwa spidi kama simu ya milioni vile
 
Back
Top Bottom