Mwenye uzoefu na process za kutoa gari bandarini anisaidie


KABAKA28

KABAKA28

Senior Member
Joined
Jun 18, 2014
Messages
129
Likes
75
Points
45
KABAKA28

KABAKA28

Senior Member
Joined Jun 18, 2014
129 75 45
Wana Jf habari....
Nimejibana bana nimepata ka hela nimeagiza ka gari...
Tafadhali mwenye uzoefu na process za kutoa gari bandarini ani PM anipe ideas.
Kuhusu bei ya mchakato mzima
Gari yangu ni HONDA FIT 2004 cc1300
 
K

kazikwelikweli

Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
79
Likes
51
Points
25
K

kazikwelikweli

Member
Joined Nov 11, 2010
79 51 25
Wana Jf habari....
Nimejibana bana nimepata ka hela nimeagiza ka gari...
Tafadhari mwenye uzoefu na process za kutoa gari bandarini ani PM anipe ideas.
Kuhusu bei ya mchakato mzima
Gari yangu n HONDA FIT 2004 Cc1300
Umeagiza kwa exporter gani?
 

Forum statistics

Threads 1,236,465
Members 475,125
Posts 29,258,991