Mwenye uzoefu na kazi ya usambazaji wa kuku kwenye Mahotel na migahawa

dogaiga

Member
Feb 20, 2020
45
55
Ningependa kufahamu jinsi ya kuanza hii biashara kwa mtu ambaye ameshawahi kufanya au bado anafanya anipe maelekezo jinsi ya kuanza natakiwa niwe na mtaji wa kiasi gan??
 
Kwanza unatakiwa uwe na kuku wako ili upate faida maradufu. My opinion!!
 
Ni kweli akiwa na kuku wako itapendeza zaidi.
2. Mara nyingi wanataka uwe consistent supply. Sio kesho unao na keshokutwa hauna.
3. Uwe tayari kumpooza kwa kitu kidogo mtu anaye hakiki ubora wa mzigo wako.

CHANGAMOTO.
Mara nyingi malipo subiri mwisho wa mwezi.
 
Ni kweli. Tenda kubwa mara nyingi hawalipi same day. Wiki au mwezi. Ila kama una uhakika wa supply, mtaji upo na pia mkataba wa maana inalipa sana kusubiri mwisho wa mwezi.
 
Ni kweli. Tenda kubwa mara nyingi hawalipi same day. Wiki au mwezi. Ila kama una uhakika wa supply, mtaji upo na pia mkataba wa maana inalipa sana kusubiri mwisho wa mwezi
Ni kweli kabisa mkuu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom