Mwenye uzoefu na huduma ya EMS Posta naomba muongozo

Kichochoro

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,135
1,163
Helow wanaJF,

Naomba kufaham hivi mtu anapotuma mzigo kwa kutumia njia ya posta ya EMS huchukua muda gani kumfikia mlengwa/mhusika.

Mfano unautuma kutoka mkoa wa Mara (Musoma) to Dar es Salaam.
 
Inategemea na umbali ' ukienda posta before haujayuma mzigo wako waweza wauliza umbali unapoenda na utachukua siku ngapi.
 
Sawa Mkuu, pia unaweza kufuatilia mzigo wako kujua mahali ulipo kutumia zile namba ulizopewa kwa kutumia anuani hii Track your TPC shipment
Mkuu nashkru nimeuangalia na kweli nimeona umeshatoka sehem nilipo na Sasa upo sehem nyinge sijui na weekend wanafanya kazi kwa maana yakusafirisha au mpka siku za kazi!
 
Acheni kitisha watu bwana! Mimi walitumia siku 5 kutoka Mwanza hadi Masasi sasa wewe siku kumi na nne umezitoa wapi
Unajua kusoma vizuri na kutambua kilichoandikwa? Nimesema ndani ya siku 14
Tafsiri yake ni kwamba haiwezi kuzidi hizo siku... Yaani mzigo unaweza kufika kuanzia siku ya kwanza mpaka ya kikomo ni 14

Jr
 
Back
Top Bottom