Mwenye uzoefu na gari hizi: Raum New Model, Suzuki swift, Ist. Anitajie changamoto zake

ISACOM

JF-Expert Member
Jul 22, 2009
543
405
Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo.

Nawasilisha
 
IST zina uzuri wake, ni ngumu na spare zinapatikana.

Ya pili chukua Raum.

Swift hamna kitu. Suzuki hajawahi feli kama alivyofeli kwenye ka Swift.
 
IST zina uzuri wake, ni ngumu na spare zinapatikana.

Ya pili chukua Raum.

Swift hamna kitu. Suzuki hajawahi feli kama alivyofeli kwenye ka Swift.
Kuna zile IST za cc1490 na cc 1290...Hipi nzuri katika hiyo?
 
Raum apoo ni the best mzee ina space kubwa vipuli vingi tu wese tofauti sio kubwa sana changamoto yake labda mlango wa abiria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom