kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,261
- 1,785
Wakuu nimeona kabla sijazeeka bila kumiliki hata Bajaji, nimeonelea niongezee kiasi kidogo cha pesa nilichonacho kwa kuuza ving'ombe ili ninunue japo gari ya kutembelea panapo majaliwa. Jamaa mmoja nimemuona na gari ikanivutia sana. Gari hiyo ni aina ya Toyota WiLL. Je sifa zake ni zipi na kasoro zake ni zipi? Natanguliza shukrani